Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hivi kwanini Pascal akimsifia mtu, mtu huyo huishia kufeli? Je, ana gundu?
Mfano:
Alianza na Lowassa
Akaja kwa Makonda
Akaja kwa Jiwe
Akaja kwa ...........
Sasa anajipenyeza kwa Hangaya 😃😃😃😃😃 (JUST JOKING)
Kwa hili la Samia kupenda haki naunga mkono amempita by far mtangulizi wake.
P mbona mistari mingine imefutika katika bandiko lako,au unalipigia chapuo gazeti unaloandikia🤔Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.
Wakili Pasco
trueMama yupo vizuri katika hilo.
What has this got to do with hoja iliyopo mezani?.Hela za kujengea flyover zimepelekwa kuwahonga akina, Zito, Lisu, Mbowe ili wakae kimya!!