Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Mapambio nimepiga nikiwa mwandishi tuu na mtangazaji, sasa pia nina instruments, hivyo sasa I'm not only the barking dog who can only bark, now I can bite as well!.Heheheh endelea kupiga mapambio sie hatuna habari😂😂😂!!!
The correct words ni mti na sio mnazi, kwasababu, japo mnazi ni mti, ila hauna matawi.Kwa kifupi tu sio rahisi mtu kukata tawi la mnazi alilokalia,
Kwa neno "msambaza asali wenu", Please...!.hizo ni ngonjera amabazo tushazizoea angeliongea hilo Magufuli ningewaza pengine kuna jipya ila sio huyo msambaza asali wenu.
P