Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

niliipata hii Makala Jumamosi nikawa na Majukumu nimeipitia now kwa Umakini,
Samia ukimlinganisha na Magufuli na Wengine anaonekana kwanza kutojikweza kama Rais naye kuna mambo anayachukulia kama Raia wa kawaida katika kuwajibika,

Zie fukuzafukuza bila kufuata sheria imeisha sana now watu wanaenjoy kwa sheria, japo bado tunahitaji misingi imara ambayo itaheshimiwa na kila ajaye akawa Rais wa nchi yetu hii,

Fuatilia ziara zake chache mikoani,,, amekuwa msema kweli kwa mambo mengi na amekuwa aki delegate power kwa wasaidizi wake kwamba fanya hiki na hiki chukua hatua hii, Hiyo ndo Tanzania tunayopenda, Haimaanishi Samia ni Rais mzuri sana kuzidi watanzania wote ila kuna auheni fulani fulani kwa mambo mengi,,,

Na usishangae anakuja kuwa Rais wa Mfano hapo baadae akirekebisha makosa yake...

KUHUSU HAKI KUNA MAMBOUMEONGELEA
NI KWELI SAMIA NI MTU WA HAKI,,
1.Waliokuwa wamesingiziwa nyuma asilimia 70 wote wameachiwa na kuangaliwa upya kama kesi zao zina mashiko..
2.Wafanyakazi ambao wamekuwa kama wafungwa wa kazi yao wenyewe kwa miaka kadhaa wameona ahueni kidogo,
3.Mpaka sasa Ruzuku kwa baadhi ya idara za binafsi ambazo ni za kusaidia jamii zimeanza upya,
4.Kimataifa, FLY DUBAI, ETIHAD walikuwa wameshaacha kwenda Bongo wakiishia KENYA now madege hayo,
5.IGNAZIO NA LINEA ziliacha sailing to port of DAR MARA 8 KWA MWEZI HADI 2 KWA MWEZI NOW ZIMEREJEA FULL, Sasas tuseme nini. maana walilazimishwa kulipia rate kubwa ya offloading time kulinganisha na nyuma ....
6. Tanzania huku tulikuwa tumeshakuwa TAKATAKA nakwambia ukweli, now we are some how good japo hatujafika panapostahili,
7.Wafanya biashara zile CBM ZA MAKONTENA WALIDHURUMIWA SANA SAMIA KAONDOA.

ILA SASA INAFUNDISHA NINI KWAMBA TUNATAKA MFUMO MZURIWA KUMUONGOZA RAIS SIYO RAIS KUUONGOZA MFUMO..

SIKU HIZI MZEMBE KUANDIKA MIMI

Britaniica
 
niliipata hii Makala Jumamosi nikawa na Majukumu nimeipitia now kwa Umakini,
Samia ukimlinganisha na Magufuli na Wengine anaonekana kwanza kutojikweza kama Rais naye kuna mambo anayachukulia kama Raia wa kawaida katika kuwajibika,
Huyu Mama Samia, she is humble, gentle and down-to-earth Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Zie fukuzafukuza bila kufuata sheria imeisha sana now watu wanaenjoy kwa sheria, japo bado tunahitaji misingi imara ambayo itaheshimiwa na kila ajaye akawa Rais wa nchi yetu hii.
Naunga mkono hoja, we need an effective systems na sio great personalities Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!
Fuatilia ziara zake chache mikoani,,, amekuwa msema kweli kwa mambo mengi na amekuwa aki delegate power kwa wasaidizi wake kwamba fanya hiki na hiki chukua hatua hii, Hiyo ndo Tanzania tunayopenda,
Naunga mkono hoja
Haimaanishi Samia ni Rais mzuri sana kuzidi watanzania wote ila kuna auheni fulani fulani kwa mambo mengi,,,

Na usishangae anakuja kuwa Rais wa Mfano hapo baadae akirekebisha makosa yake...
Hili neno!. Nashauri tumsaidie kwa kumueleza makosa yake ili ayarekebishe.
KUHUSU HAKI KUNA MAMBOUMEONGELEA
NI KWELI SAMIA NI MTU WA HAKI,,
1.Waliokuwa wamesingiziwa nyuma asilimia 70 wote wameachiwa na kuangaliwa upya kama kesi zao zina mashiko..
2.Wafanyakazi ambao wamekuwa kama wafungwa wa kazi yao wenyewe kwa miaka kadhaa wameona ahueni kidogo,
3.Mpaka sasa Ruzuku kwa baadhi ya idara za binafsi ambazo ni za kusaidia jamii zimeanza upya,
4.Kimataifa, FLY DUBAI, ETIHAD walikuwa wameshaacha kwenda Bongo wakiishia KENYA now madege hayo,
5.IGNAZIO NA LINEA ziliacha sailing to port of DAR MARA 8 KWA MWEZI HADI 2 KWA MWEZI NOW ZIMEREJEA FULL, Sasas tuseme nini. maana walilazimishwa kulipia rate kubwa ya offloading time kulinganisha na nyuma ....
6. Tanzania huku tulikuwa tumeshakuwa TAKATAKA nakwambia ukweli, now we are some how good japo hatujafika panapostahili,
7.Wafanya biashara zile CBM ZA MAKONTENA WALIDHURUMIWA SANA SAMIA KAONDOA.
Samia Atabarikiwa sana na Tanzania Itabarikiwa.
ILA SASA INAFUNDISHA NINI KWAMBA TUNATAKA MFUMO MZURIWA KUMUONGOZA RAIS SIYO RAIS KUUONGOZA MFUMO..

Britaniica
Naunga mkono hoja.
P
 
Mlizoea kuhonga Wapinzani uchwara kwenye utawala wa ndugu yenu muuaji Sasa mnadhani Kila Mtu anahonga. Yaani Mtu na akili zako unamhonga Hadi Moleli arudi CCM Kwa lipi atakaloongeza?
Mkuu Bila bila, hakuna uthibitisho wowote wa mwanasiasa yeyote wa upinzani kuhongwa kuhamia CCM, Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

Ila pia nilitoa wito huu kwa hama hama hawa Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
P.
 
Ukweli ni kwamba Mama Samia ameufutilia mbali upinzani njaa Tanzania. Haupo hauna sera wala hoja. Wamekalia kuropoka tuuu tena mitandaoni. Ukimuuliza mwana CHADEMA mwezi huu wamefanya nini atasema Halima Mdee. Yaani kwishney. Maini FIRIGISI hakuna kitu.
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
Yule jamaa alitaka wapigwe mateke

Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf wote ambao ni well wishers, tuungane kumu wish Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
IMG-20230127-WA0000.jpg

Happy Birthday.

P
 
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
 
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf wote ambao ni well wishers, tuungane kumu wish Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya. View attachment 2497356
Happy Birthday.

P
Usichoke, endelea kisifia, kaza uchawa ipo siku atakuona na kukuteua. Keep it up!

(nchi hii imerogwa,)
 
Back
Top Bottom