Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Mkuu Sexless, kikawaida hao manyang'au huwa wanakwenda na tempo ya rais aliyepo madarakani, hivyo watabadilika.Samia anaweza kuwa na dhamira njema ya kuweka sheria zinazoleta usawa kwenye chaguzi, lkn kazungukwa na manyang'au yanayonufaika na hizi sheria kandamizi. Yatakubali?
Rest assured tunaposema ni kwa maslahi ya Taifa, we mean Maslahi ya Taifa na sio Maslahi ya Chama.Nasuburia kwa hamu kubwa mahojiano yako Pascal Mayalla na mhe Samia. Naamini maswali yako yatajikita kwenye masuala ya maslahi ya taifa tu na siyo kukijenga chama chako.
P