Mkuu, hongera sana, hatimaye umeupata uwakiliWanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.
Wakili Pasco
Asante sana, kiukweli nimeusotea sana uwakili mpaka basi, toka 2007 mpaka 2022 ni 15 good years!.Mkuu, hongera sana, hatimaye umeupata uwakili
Huyu Mama Samia, she is humble, gentle and down-to-earth Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”niliipata hii Makala Jumamosi nikawa na Majukumu nimeipitia now kwa Umakini,
Samia ukimlinganisha na Magufuli na Wengine anaonekana kwanza kutojikweza kama Rais naye kuna mambo anayachukulia kama Raia wa kawaida katika kuwajibika,
Naunga mkono hoja, we need an effective systems na sio great personalities Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!Zie fukuzafukuza bila kufuata sheria imeisha sana now watu wanaenjoy kwa sheria, japo bado tunahitaji misingi imara ambayo itaheshimiwa na kila ajaye akawa Rais wa nchi yetu hii.
Naunga mkono hojaFuatilia ziara zake chache mikoani,,, amekuwa msema kweli kwa mambo mengi na amekuwa aki delegate power kwa wasaidizi wake kwamba fanya hiki na hiki chukua hatua hii, Hiyo ndo Tanzania tunayopenda,
Hili neno!. Nashauri tumsaidie kwa kumueleza makosa yake ili ayarekebishe.Haimaanishi Samia ni Rais mzuri sana kuzidi watanzania wote ila kuna auheni fulani fulani kwa mambo mengi,,,
Na usishangae anakuja kuwa Rais wa Mfano hapo baadae akirekebisha makosa yake...
Samia Atabarikiwa sana na Tanzania Itabarikiwa.KUHUSU HAKI KUNA MAMBOUMEONGELEA
NI KWELI SAMIA NI MTU WA HAKI,,
1.Waliokuwa wamesingiziwa nyuma asilimia 70 wote wameachiwa na kuangaliwa upya kama kesi zao zina mashiko..
2.Wafanyakazi ambao wamekuwa kama wafungwa wa kazi yao wenyewe kwa miaka kadhaa wameona ahueni kidogo,
3.Mpaka sasa Ruzuku kwa baadhi ya idara za binafsi ambazo ni za kusaidia jamii zimeanza upya,
4.Kimataifa, FLY DUBAI, ETIHAD walikuwa wameshaacha kwenda Bongo wakiishia KENYA now madege hayo,
5.IGNAZIO NA LINEA ziliacha sailing to port of DAR MARA 8 KWA MWEZI HADI 2 KWA MWEZI NOW ZIMEREJEA FULL, Sasas tuseme nini. maana walilazimishwa kulipia rate kubwa ya offloading time kulinganisha na nyuma ....
6. Tanzania huku tulikuwa tumeshakuwa TAKATAKA nakwambia ukweli, now we are some how good japo hatujafika panapostahili,
7.Wafanya biashara zile CBM ZA MAKONTENA WALIDHURUMIWA SANA SAMIA KAONDOA.
Naunga mkono hoja.ILA SASA INAFUNDISHA NINI KWAMBA TUNATAKA MFUMO MZURIWA KUMUONGOZA RAIS SIYO RAIS KUUONGOZA MFUMO..
Britaniica
Hongera bro, huwa siachi kusoma makala zako kila nizionapoWanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.
Wakili Pasco
Mkuu Jabari XVI, asante sana, sisi waandishi wa habari, ukisikia hata mtu mmoja tuu anakusoma, inakutia moyo kuendelea kuandikaHongera bro, huwa siachi kusoma makala zako kila nizionapo
Mkuu Bila bila, hakuna uthibitisho wowote wa mwanasiasa yeyote wa upinzani kuhongwa kuhamia CCM, Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?Mlizoea kuhonga Wapinzani uchwara kwenye utawala wa ndugu yenu muuaji Sasa mnadhani Kila Mtu anahonga. Yaani Mtu na akili zako unamhonga Hadi Moleli arudi CCM Kwa lipi atakaloongeza?
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.
Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.
Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.
Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.
Pasco
Usichoke, endelea kisifia, kaza uchawa ipo siku atakuona na kukuteua. Keep it up!Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf wote ambao ni well wishers, tuungane kumu wish Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya. View attachment 2497356
Happy Birthday.
P
Haki haki haki, huinua taifa, dhulma hulaani taifa!.Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.
Pasco