Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

😂😂😂Najua unaumia kimoyo moyo!

Yani dhalimu wa Samia umevunja rekodi!

Niliwashangaa sana eti mlikuwa mnamsifia hangaya ili kumkomoa Magu!

Mpeni tena zile sifa zenu nyambafu
Naumizwa na nini? Ww ndio umepata mahali pa kijipoozea maana umeona kumbe sio magu dhalimu tu, hata wengine wanaweza kuwa madhalimu. Ni hivi, magufuli ataendelea kuwa kwenye historia ya viongozi mashetani waliotawala nchi hii. Hutaki jinyonge.
 
We mjinga tu watu wanauawa wewe unahangaika na mwendazake! Kwa hiyo inabidi watu wafe sana Ili kufikia kiwango ambacho unadhani walikufa kipindi Cha unayemwita dhalimu ndiyo uone kuwa watu kupotea na kuuawa si sawa?
 
Kaongee na niliyemjibu yeye ndio kaleta habari za huyo dhalimu.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Hii ni haki ambayo Rais Samia alipaswa kuitekeleza kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa,haikutekelezwa,ila Rais Samia bado anayo fursa ya kuitekeleza kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,kwa vile hakuna any justifiable reasons kwanini haki hii haikutekelezwa,then,there is no guarantee kuwa haki hii itatekelezwa kabla ya uchaguzi wa 2025。

Mungu Mbariki Rais Samia aweze kuwatendea haki Watanzania 2025

Mungu Ibariki Tanzania

P
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, huandika Makala za "Kwa Maslahi ya Taifa". Hii ni makala ya wiki hii, iliyotoka kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
View attachment 2285945View attachment 2285946
Karibuni.

Pasco
Ameishiwa aibu yeye na mkwe wake, yaani uibaji wa kura upo wazi, utesaji na utekaji wa mawakala na uingizaji wa kura zilizopigwa kabla halafu anasema kuwa wameshinda? Kweli hawa watu mishipa ya aibu imeshakatika. Aibu aibu aibu.
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Nasuburia kwa hamu kubwa mahojiano yako Pascal Mayalla na mhe Samia. Naamini maswali yako yatajikita kwenye masuala ya maslahi ya taifa tu
Endelea kusubiria, huu ni mwaka kwa uchaguzi, hivyo baadhi ya watembea mabega juu, mwaka huu hujishusha, tuendelee kusubiria tuu, huku unakula mtori wako taratibu, nyama utakutana nazo chini!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…