Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,633
Reaction score
5,615
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
 
Hao wakristo waache wajifanye wanajua vita ,waache waanzishe wataelewa balaa lake..Tunaongelea amani wao wana vitisho ,mara wana intelijensia nzuri ,hao TEC waanzishe kama vidume waone cha moto.

Instead ya kuongelea amani eti wanajifanya wnaa nguvu , watu wana mengi moyoni... Viongozi wa dini mnaweza hata kwenda ikulu ili kumshauri Rais ila mambo ya ubabe hayana maana .
 
Kila zama ina kitabu chake na unique needs kuendena na mazingira ya wakati huo! Kama ilikuwa ni nafasi na haikutumika then ni lost opportunity maisha yanasonga! Mashekhe wananyongwa soon kuna shekhe kaongea lolote (au hawajasikia)? Wameloa tu wanaipambania sisiemu tu wakiamini huenda watapewa hata baiskeli kama shekhe mmoja alivyosema miezi kadhaa ilopita!
 
K
Kunywa maji😁
 

Tuanze kwanza kupambania mashekhe wetu waliohukumiwa kunyongwa mkuu kabla hatujawaonyesha TEC huo moto wetu! Unaongea ukiwa wapi?
 
Usijitoe akili.
TEC wanakumbusha wanasiasa wazingatie haki kwa wote bila kudai haki za wakristo pekee.

Wakristo hawajaenda kuwavamia waislam na kuvunja butcher zao za nyama.
Waislam wa Mwembechai walienda kuvamia butcher la wakristo la nyama ya nguruwe,n.k.
Unawezaje kulinganisha haya matukio mawili tofauti?

Mbona kipindi Cha Kikwete waislam mliharibu makanisa kwa moto na kumwagia tindikali Padre (priest) wa katoliki watu walinyamaza na hukuna kuandika thread kama hii?

Siku zote Ukisikia kanisa katoliki linatoa angalizo au malalamiko ni dhidi ya serikali na kwa niaba ya wote. Kwani huko upinzani hakuna waislam wanaogombea kwenye chaguzi za serikali zinazo lalamikiwa?
Kwani wanapotea na kutekwa wakristo pekee.
Marehumu Med Kibao ni muumini wa kanisa? Mbona haya yote ni yale aliyopigia kelele Fr. Kitima?
Tumia akili kidogo weka pembeni udini.
 
Huwa mnasema Zanzibar ni nchi inayojitegemea hivyo warioba angefanyaje wakati hayupo na si mwanachama Zanzibar law association
 
Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati

Mamia mangapi waliuawa? Na una uhakika Padri Camelius Lwambano anahusika?

Ndugu katika imani mnatuangusha sana, mnaongea porojo sana kama Masheikh wenu, tatizo ni nini? Kwanini reasoning yenu ipo chini kiasi hichi?
 
Unaongelea amani bila HAKI? Utakuwa mtumwa wa Tanga usiye na akili. Hiyo unayoisema sio amani, ni uvumilivu, watu wamechoka kuvumilia.
 
Kuna uzi humu umeeleza vyema, hapa serikali haifuati dini, bali miongozo, mikataba ama mambo yao ya siri yaliyopo mezani ambayo ndio wanasimamia, sasa ww jichanganye wanadili na wewe pasipo kuangalia ni dini gani.
 
Unaongelea amani bila HAKI? Utakuwa mtumwa wa Tanga usiye na akili. Hiyo unayoisema sio amani, ni uvumilivu, watu wamechoka kuvumilia.
We kiazi tulia na ujinga wako ,kama unaitaka amani itafute sio kupiga domo ,.lin mliandamana kwa vurugu waoga nyie ?

Kaliwe mbele huko !
 
pumbavu, unaleta hisia za udini
 
Hao wa mwembechai walikuwa ni magaidi kwenda kuvunja mabucha ya nguruwe iliwapasa wadhibitiwe kwa nguvu kubwa maana ile ilikuwa hatari na ingeweza kusambaa nchi nzima. Muachage kulinganisha matukio yasifanana chanzo chake
 
acha mhemko wa kidini mpuuzi wewe, jadili bila kuegemea dini yako, una mentality mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…