Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Usha leta udini. Ila walikemea au hawakukemea. ? Zama za jiwe hawa TEC hawakukemea mpaka wakasingiziwa kesi za uraia. Acha udini
 
Sawa napokea marekebisho yako.
Unaweza kutuambia TEC wanatetea wagombea wakristo pekee au haki za wakristo pekee?
Yule kiongozi wa chadema toka Zanzibar aliye umizwa majuzi walipoenda Kisutu ni dini gani?
Med Kibao dini gani?
TEC wanatetea maslahi yao 100%! Haina hata shaka, na lengo lao ni ku-dominate Kila nyanja hapa Tanzania.

Amini nakuambia lengo la TEC sio Uchaguzi huru sijui upinzani, wao wanajaribu kutishia serikali Ili waweze kulinda maslahi yao na pengine kupata maslahi mengine Bora zaidi!

TEC ni spoilt child hawezi kuhimili kuwa mpinzani! Trust wakishakuwa na uhakika mkatoliki atakuwa RAIS 2030 wataacha haya makelele yote!

Hao unaosemi Wakina Medi Kibao! Hao ni chawa, wapo Kila mahali! Kuna Warusi wanaunga mkono Ukraine, Kuna baadhi ya Waukeaine wanaunga mkono Russia!

Tumbo kwanza, mengine yote yanafuata! Mwenye njaa, hana dini, itikadi Wala aibu!
 
Hao wakristo waache wajifanye wanajua vita ,waache waanzishe wataelewa balaa lake..Tunaongelea amani wao wana vitisho ,mara wana intelijensia nzuri ,hao TEC waanzishe kama vidume waone cha moto.

Instead ya kuongelea amani eti wanajifanya wnaa nguvu , watu wana mengi moyoni... Viongozi wa dini mnaweza hata kwenda ikulu ili kumshauri Rais ila mambo ya ubabe hayana maana .
Umeanza kuchanganyikiwa jamaa yangu
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Unatakaje hueleweki. Kuuwawa ni jambo la kawaida Watu.wasiseme. ulivyo mnafiki na puyanga umeshau.KIkwete alivyoua watu kule.Arusha 2011/2012 umeona wauaji ni catholics tu shida siyo dini ma CCM yenu ndo majinga majinga
 
Kuvunja mabucha ya nguruwe ulikuwa uhalifu na ujambazi..Wala usilinganishe na siasa Ni maji na petroli
 
We kiazi tulia na ujinga wako ,kama unaitaka amani itafute sio kupiga domo ,.lin mliandamana kwa vurugu waoga nyie ?

Kaliwe mbele huko !
Wewe jamaa yangu Samia inabidi akutafute akupe hata ukuu wa wilaya unamtetea sana kwa kwel
 
Umeanza kuchanganyikiwa jamaa yangu
Naongea ukweli ,sipindishi ..Mimi ni mpenda amani ila acheni mikwara hamna cha kuwafanya waislamu kwa mlengo wenu ,kama mnabisha pimeni kina cha maji .
 
Kwani rafiki yangu TEC walitoa waraka kuhusu waislam au kuhusu serikali?

Kwanini nyie kama waislam mnaona nongwa sana kuliko hata serikali yenyewe iliyo shambuliwa na TEC?
 
Mnawapamba sana hamjui madhara yake ,kwa hiyo unafirikia wataifanya nn serikali ?
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Endeleeni kukaza Shingo, siku wakianza kuteka na masheikh itakua too late. Jifunzeni kwa Sheikh Ponda amechagua kuea upande sahihi wa historia. Kuweka rekodi sawa hayo mauaji ya pemba TEC mbona ililaani hata mauaji ya Mtwara kipindi cha kupinga bomba la gesi walipinga pia.

Kama kulikua na uzembe huko nyuma isiwe sababu ya waliopo kubadilika. Yaani kisa hukupinga mateso huko nyuma basi ufumbie macho milele? This is insanity.
 
Sasa nyie waislam si muiache serikali ijijibie yenyewe
Acheni vitisho ,hao wenzio walishaanza utawala wa Muislamu si waseme CCM .

Huyo padre wenu kajiingiza kwenye siasa atachezea sana.
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Kwa nini Benjamin Mkapa!? wakati zenji ina serikali yake? Kuhusu mwembe chai elezea chanzo kama siyo upuuzi wa waisiharamu tatizo lenu waislamu amjui kusimamia hoja jumuishi mnapo dai haki ...nyinyi madai yenu huwa siyo ya kitaifa bali ni yakibinafsi na kidini .....sasa hivi watu wanadai katiba mpya nyinyi mnadai kadhi a mahakama ya kadhi...unaona upumbavu ...wenzenu walikuwa wanadai elimu bure nyinyi mkadai hijabu mashuleni .....wenzenu wanapo dai tume huru ya uchaguzi nyinyi mnadai serikali igharamie safari zenu za kuhiji maka na kwa madai mfano wa hayo mmekuwa mnauliwa ...daini madai ya kitaifa yenye tija kwa taifa muone kama amjaungwa mkono.
Nakumbuka mlivyo vunja banda za kitimoto isiyo wahusu. Kwanini unamtaka warioba awateteeni kwa madai ya kidini kwanini usiseme mzee kikwete..kwanini samia muislamu mwenzenu asiwashughulikie walio ua mwembe chai ? Kwanini wakristo wakristo wakristo wakristo...jibu kwanini mashekh wanyamaze kimywa kuhusu mambo yenu amuwarahumu ila wakristo wakipigania haki tena za kitaifa mnawakashifu ...unajua kuwa samia kapitisha sheria hatari sana ya polisi na vyombo vya usalama kulindwa kwa chochote watakacho tenda kiovu kwa kutumwa na viongozi ? Ulimsikia shekh yoyote kulaani ilo ...sasa siku mkiuliwa mnataka wakristo wawa lilieni .....onyesheni kwa vitendo kuunga mkono hata jambo moja la kizalendo muone kama wakristo watawakashifu au kutokuwaunga mkono ...mzee kibao muislamu mwenzenu kauliwa mpo kumywa tena kauliwa bila ya kosa lolote mmeweka vijambio vyenu misikitini mpo kimya
 
TEC wanatetea maslahi yao 100%! Haina hata shaka, na lengo lao ni ku-dominate Kila nyanja hapa Tanzania.

Amini nakuambia lengo la TEC sio Uchaguzi huru sijui upinzani, wao wanajaribu kutishia serikali Ili waweze kulinda maslahi yao na pengine kupata maslahi mengine Bora zaidi!

TEC ni spoilt child hawezi kuhimili kuwa mpinzani! Trust wakishakuwa na uhakika mkatoliki atakuwa RAIS 2030 wataacha haya makelele yote!

Hao unaosemi Wakina Medi Kibao! Hao ni chawa, wapo Kila mahali! Kuna Warusi wanaunga mkono Ukraine, Kuna baadhi ya Waukeaine wanaunga mkono Russia!

Tumbo kwanza, mengine yote yanafuata! Mwenye njaa, hana dini, itikadi Wala aibu!
Kwamba ikipatikana tume nzuri huru ya uchaguzi haitanufaisha wagombea wa waislam?
Uhuru wa maoni na haki sawa vitanufaisha wakristo pekee?
Kama dini zinawafanya watu wafikirie hivi basi hazina faida kwa jamii bali zinadumaza fikra.
 
Hao wa mwembechai walikuwa ni magaidi kwenda kuvunja mabucha ya nguruwe iliwapasa wadhibitiwe kwa nguvu kubwa maana ile ilikuwa hatari na ingeweza kusambaa nchi nzima. Muachage kulinganisha matukio yasifanana chanzo chake
mdini Mohamed Said aliwahi kusimulia hapa kuwa alishiriki vikao vyote vya kupanga uvamizi kwenye mabucha ila siku ya uvamizi akaingia mitini na kuwaacha wenzake wakishughulikiwa.
 
Tukio la Mwembechai lilikuwa ni mwaka 1998 na tukio la Mabucha ya nguruwe lilikuwa ni mwaka 1993.

Tukio la mauaji yaliyotokea nje ya msikiti wa Mwembechai tarehe 13, Februari mwaka 1998 ndugu zetu waliuawa mbele ya kamera za vyombo vya habari. Allah awasamehe na awarehemu.

Wallahi Waislam hatutawaunga mkono kwenye upumbavu wenu nyinyi, kwa idhini ya Allah. Hatukubali kuivunja amani ya nchi yetu kwa sababu yoyote ikiwemo huyo Gwajima (muunga mkono mazayuni na kafiri mwenye kuwachukia Waislam)
Unaleta mambo ya mwembechai wakati wale walikuwa wahuni wa kidini kuharibu mali za watu, nani angewatetea washenzi hao wa kidini?

Back
Top Bottom