Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

We kiazi tulia na ujinga wako ,kama unaitaka amani itafute sio kupiga domo ,.lin mliandamana kwa vurugu waoga nyie ?

Kaliwe mbele huko !
Limekuchoma masaburi sio!
 
akili yako ni mbovu, jichanganyeni muone rangi zote. Unawaza udini tu utakupoteza
We mwalimu endelea kushauri wajinga wenzenu ,wafanye vurugu ..Kule congo na Rwanda wanaokufa wengi ni wakristo kwa ujinga ...Sasa kama mnawaheshimu hao viongozi wenu basi wengine wanawaona kama takataka.

Ukitambua umuhimu wa amani basi hautokuja na mikwara yenu ,sijui kuna JASUIT ... Endeleeni kudanganywa siku mkijaribu ndio mwisho wenu.
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifimbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply msiyempenda ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Nimeipenda hii
 
We mwalimu endelea kushauri wajinga wenzenu ,wafanye vurugu ..Kule congo na Rwanda wanaokufa wengi ni wakristo kwa ujinga ...Sasa kama mnawaheshimu hao viongozi wenu basi wengine wanawaona kama takataka.

Ukitambua umuhimu wa amani basi hautokuja na mikwara yenu ,sijui kuna JASUIT ... Endeleeni kudanganywa siku mkijaribu ndio mwisho wenu.
unapenda machafuko? Kama hupendi achana na mihemko ya kidini. Linda haki, tenda haki. Unadhani athari ya machafuko itaadhiri upande mmoja tu? Nyie kobazi kuweni na akili mnapojadili mambo ya haki kwa wananchi wote, acheni udini wenu
 
Watu wa kutoka huko kwenu, ukitoa wasambaa mnajulikana vichwa vyenu.
Umekariri wwe na wensio jaribu muone...Nyie mmejitambua juzi tangu mjue kuzaa suti ,...We mshamba hamna kitu unaweza kutueleza wala kutuzidi..
 
Vingine vinakabaaa,lazima unywe maji kupitishaa••••• song by mbosso khan!!!
 
Hao wakristo waache wajifanye wanajua vita ,waache waanzishe wataelewa balaa lake..Tunaongelea amani wao wana vitisho ,mara wana intelijensia nzuri ,hao TEC waanzishe kama vidume waone cha moto.

Instead ya kuongelea amani eti wanajifanya wnaa nguvu , watu wana mengi moyoni... Viongozi wa dini mnaweza hata kwenda ikulu ili kumshauri Rais ila mambo ya ubabe hayana maana .
Kwanza hapa Tanzania Ukristo wa kikatoliki umeshasukumwa nyuma na mayahudi na makanisa yao ya kijanja janja ya kilokole na kisabato.
 
unapenda machafuko? Kama hupendi achana na mihemko ya kidini. Linda haki, tenda haki. Unadhani athari ya machafuko itaadhiri upande mmoja tu? Nyie kobazi kuweni na akili mnapojadili mambo ya haki kwa wananchi wote, acheni udini wenu
Nan anapenda machafuko si nyie wazee wa mikwara ,hauoni nyuzi za kuwasifia humu ..Najua ni dini yako ila ni ukweli nasema ,vita mlivyosababisha si umeona madhara yake...Kama nyie ni majasusi basi huyo jamaa atawasaidia kuwajue waliotaka kumdhuru na sio kuleta mikwara sisi wengine hatuwatambui.
 
Kwanza hapa Tanzania Ukristo wa kikatoliki umeshasukumwa nyuma na mayahudi na makanisa yao ya kijanja janja ya kilokole na kisabato.
Wanajiita majasusi eti 😅😅wanadanganywa sana hawa
 
Nan anapenda machafuko si nyie wazee wa mikwara ,hauoni nyuzi za kuwasifia humu ..Najua ni dini yako ila ni ukweli nasema ,vita mlivyosababisha si umeona madhara yake...Kama nyie ni majasusi basi huyo jamaa atawasaidia kuwajue waliotaka kumdhuru na sio kuleta mikwara sisi wengine hatuwatambui.
Watu wanadai haki zao, wewe unaleta udini.
Sasa TEC mna-ubavu wa kuifanya chochote.
 
Ya Mwembechai yalikuwa na sura ya dini.
Ya Pemba Januari 27 yalikuwa ya madai ya dhuluma ya uchaguzi uchaguzi. Pemba waliuliwa takriban 30.

Kwa ujumla Tanzania tuna udini mwingi hata kama tunajidanganya vyenginevyo. Mijadala ya kawaida huharibika na kuelekezwa kwenye dini.
 
Usijitoe akili.
TEC wanakumbusha wanasiasa wazingatie haki kwa wote bila kudai haki za wakristo pekee.

Wakristo hawajaenda kuwavamia waislam na kuvunja butcher zao za nyama.
Waislam wa Mwembechai walienda kuvamia butcher la wakristo la nyama ya nguruwe,n.k.
Unawezaje kulinganisha haya matukio mawili tofauti?

Mbona kipindi Cha Kikwete waislam mliharibu makanisa kwa moto na kumwagia tindikali Padre (priest) wa katoliki watu walinyamaza na hukuna kuandika thread kama hii?

Siku zote Ukisikia kanisa katoliki linatoa angalizo au malalamiko ni dhidi ya serikali na kwa niaba ya wote. Kwani huko upinzani hakuna waislam wanaogombea?
Kwani wanapotea na kutekwa wakristo pekee.
Marehumu Med Kibao ni muumini wa kanisa? Mbona haya yote ni yale aliyopigia kelele Fr. Kitima?
Tumia akili kidogo weka pembeni udini.
Mkuu pamoja na matusi yote, lakini umechanganya mambo kishenzi! Na huu ni ushahidi wa ujinga mlio nao! Na kujifanya mnajua ilhali ni madebr tupu!

Case ya Mabucha ya nguruwe ilikuwa wakati wa Mwinyi 1993, Mauaji ya Mwembechai ni wakati wa Mkapa 1998!

Yamkini mbegu yako kharam ilikuwa haijapandwa!
 
Sawa napokea marekebisho yako.
Unaweza kutuambia TEC wanatetea wagombea wakristo pekee au haki za wakristo pekee?
Yule kiongozi wa chadema toka Zanzibar aliye umizwa majuzi walipoenda Kisutu ni dini gani?
Med Kibao dini gani?
 
Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!
Humu JF, utatukanwa sana mkuu lakini umeongea ukweli unaouma!!!
 
Back
Top Bottom