Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

We kiazi tulia na ujinga wako ,kama unaitaka amani itafute sio kupiga domo ,.lin mliandamana kwa vurugu waoga nyie ?

Kaliwe mbele huko !
Limekuchoma masaburi sio!
 
akili yako ni mbovu, jichanganyeni muone rangi zote. Unawaza udini tu utakupoteza
We mwalimu endelea kushauri wajinga wenzenu ,wafanye vurugu ..Kule congo na Rwanda wanaokufa wengi ni wakristo kwa ujinga ...Sasa kama mnawaheshimu hao viongozi wenu basi wengine wanawaona kama takataka.

Ukitambua umuhimu wa amani basi hautokuja na mikwara yenu ,sijui kuna JASUIT ... Endeleeni kudanganywa siku mkijaribu ndio mwisho wenu.
 
Limekuchoma masaburi sio!
Jaribuni muone ,sio waoga nyie ..Mnashindwa hata na vurugu za Mtwara kipind cha gesi ...Nyie waoga hamna chochote mnaweza kufanya .
 
Nimeipenda hii
 
unapenda machafuko? Kama hupendi achana na mihemko ya kidini. Linda haki, tenda haki. Unadhani athari ya machafuko itaadhiri upande mmoja tu? Nyie kobazi kuweni na akili mnapojadili mambo ya haki kwa wananchi wote, acheni udini wenu
 
Makobazi mnapaswa kusimama na kutetea haki za raia wote bila kujali dini yenu tu, hapo mnafeli pakubwa. Nchi hii si ya kikobazi, kobazi yeyote asijaribu kukinukisha hakuna rangi ataacha kuona
 
Watu wa kutoka huko kwenu, ukitoa wasambaa mnajulikana vichwa vyenu.
Umekariri wwe na wensio jaribu muone...Nyie mmejitambua juzi tangu mjue kuzaa suti ,...We mshamba hamna kitu unaweza kutueleza wala kutuzidi..
 
Vingine vinakabaaa,lazima unywe maji kupitishaa••••• song by mbosso khan!!!
 
Kwanza hapa Tanzania Ukristo wa kikatoliki umeshasukumwa nyuma na mayahudi na makanisa yao ya kijanja janja ya kilokole na kisabato.
 
unapenda machafuko? Kama hupendi achana na mihemko ya kidini. Linda haki, tenda haki. Unadhani athari ya machafuko itaadhiri upande mmoja tu? Nyie kobazi kuweni na akili mnapojadili mambo ya haki kwa wananchi wote, acheni udini wenu
Nan anapenda machafuko si nyie wazee wa mikwara ,hauoni nyuzi za kuwasifia humu ..Najua ni dini yako ila ni ukweli nasema ,vita mlivyosababisha si umeona madhara yake...Kama nyie ni majasusi basi huyo jamaa atawasaidia kuwajue waliotaka kumdhuru na sio kuleta mikwara sisi wengine hatuwatambui.
 
Kwanza hapa Tanzania Ukristo wa kikatoliki umeshasukumwa nyuma na mayahudi na makanisa yao ya kijanja janja ya kilokole na kisabato.
Wanajiita majasusi eti 😅😅wanadanganywa sana hawa
 
Watu wanadai haki zao, wewe unaleta udini.
Sasa TEC mna-ubavu wa kuifanya chochote.
 
Poapoa tumekusikia. Unazungumziaje hoja zao?
 
Ya Mwembechai yalikuwa na sura ya dini.
Ya Pemba Januari 27 yalikuwa ya madai ya dhuluma ya uchaguzi uchaguzi. Pemba waliuliwa takriban 30.

Kwa ujumla Tanzania tuna udini mwingi hata kama tunajidanganya vyenginevyo. Mijadala ya kawaida huharibika na kuelekezwa kwenye dini.
 
Mkuu pamoja na matusi yote, lakini umechanganya mambo kishenzi! Na huu ni ushahidi wa ujinga mlio nao! Na kujifanya mnajua ilhali ni madebr tupu!

Case ya Mabucha ya nguruwe ilikuwa wakati wa Mwinyi 1993, Mauaji ya Mwembechai ni wakati wa Mkapa 1998!

Yamkini mbegu yako kharam ilikuwa haijapandwa!
 
Sawa napokea marekebisho yako.
Unaweza kutuambia TEC wanatetea wagombea wakristo pekee au haki za wakristo pekee?
Yule kiongozi wa chadema toka Zanzibar aliye umizwa majuzi walipoenda Kisutu ni dini gani?
Med Kibao dini gani?
 
Humu JF, utatukanwa sana mkuu lakini umeongea ukweli unaouma!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…