Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

Hao wa mwembechai walikuwa ni magaidi kwenda kuvunja mabucha ya nguruwe iliwapasa wadhibitiwe kwa nguvu kubwa maana ile ilikuwa hatari na ingeweza kusambaa nchi nzima. Muachage kulinganisha matukio yasifanana chanzo chake

tunaweza kusema hivyo hivyo kuhusu watu wa No reform, kuwa ni waleta vurugu wanaotaka kuharibu amani ya nchi.
 
all in all udini haukubaliki tanzania, nani anataka udini? Hii ni nchi isiyo ya kiislam, ukileta uislam kuleta vurugu utadhibitiwa tu
 
Yalikuwa ni halali Yao kuuliwa.

Kwanini wakabomoe bucha??????
 
Kipindi hicho hata mitandao haikuwepo.
Dark days
 
We kiazi tulia na ujinga wako ,kama unaitaka amani itafute sio kupiga domo ,.lin mliandamana kwa vurugu waoga nyie ?

Kaliwe mbele huko !
Aisle JF nashauri Kuna majukwa yaeke viwango vya elimu na umri katika kujadili madam nzito za nchi.
 
W Wewe ni Mjinga,unatumia uislamu kama NGAO ya kumkinga Rais dhidi ya unyama na ushenzi unaendelea 🤔🤔 siku wewe babako MAMAKO au mmoja wa Ndugu zako akibinywa PUMBU na kutobolewa macho kama Mzee KIBAO,utaelewa na akili zako zilizoko mifuko wa nyuma wa suruali ndipo zitakurudia!! Kwa sasa endelea kubugia SUMU Yako ya udini wa kumlinda Bi mdashi 🤔🤔🤔
 
Ni mpumbavu pekee anayehalalisha maovu eti kwa kuwa yalishawahi kutokea ,kiazi kabisa
 
Haya majitu yanashinda madrasa yakija yanaandikq utumbo ..... nchi sio ya dini ndugu raisi afute sheria polisi wafuate sheria ..pia raia wafuate sheria period mambo ya sijui katoka msktn kanisani hayatuhusu..shida ya hilo din lenu ni elimu hamnaga
 
Kumbe mnalipiza kisasi? Kumbe mnapenda mauaji yafanyike na watu wakae kimya?
Kwa hiyo mnatamani baada ya hayo akiingia anaetokana na sisi kama ulivosema nae alipize kwa kuua wa kwenu na anaetokana na sisi akiingia tena aendelee kuua?
Hayo mauaji ya mamia mbona hamkupaza sauti? Kwa kuwa hamkupaza sauti je ndio sababu unataka tunyamanze!

Nakushauli uungane na watanzania kukemea na kukomesha utekaji na mauji maana hujui yawezekana kesho ikawa zamu yako au ndugu yako. NO REFORM NO ELECTION
 
Hatukupaza sauti? Nadhani usingeweza kusikia kwa kuwa ulikuwa bado haujafika duniani.

Keep your stupid no reforms shit to yourself!
 
Zamani nilikuwa najua kwamba mwanamke akivaa surual basi atashindwa kuvaa chupi kwa kuamini miguu itapitia wapi ikiwa amesha vaa suruali? Kumbe mambo ni tofaut kila zama ina zama zake tuache zamadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…