Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

Anzisha vita acha kubwabwanya ,yaani nyie hamuwezi kutufanya chochote kile
.
Wewe ni zao la mimba zilizotungwa kwenye mikesha ya mbio za mwenge, huna akili, huna elimu, huna maarifa, na huna uwezo wa kifedha, utamtisha nani!!??
 
Taqbreeee.....
 
Halafu cha ajabu utakuta mtoa mada hajakuelewa pamoja na kuwa comment yako imejaa madini.
Kifupi unachokiona kwa Hamas, Taleban, Islamic jihad ndo taswira halisi ya uislamu. SIJUI KAMA MMENIELEWA
 
Si kheri kama nyie Makafiri mngekuwa munaipambania Demokrasia tungewaelewa!' lkn hizi harakati zenu ni chuki tu zd Muislam aliyopo madarakani na Uislam kwa ujumla.
 
Kuna kiosk cha soda karibu hapo?? Agiza kreti nzima ntalipa mkuu
 
 
Mimi ni muslim na ninasema samia hafai kutuongoza! Hii nchi unafata muongoza wa katiba na sheria na sio quraan na Hadith za Mtume.
Wewe sio mfuasi wa dini hiyo uliyoitaja. Maana hata jina lako unalotumia humu haliandikwi namna hiyo… linaandikwa hivi “Ahlan wa Sahlan” (حَلَلْتَ أَهْلاً، وَوَطِئْتَ سَهْلاً)

Hapo kwenye hoja yako ya hovyo uliyomu-attack nayo rais wetu aliye madarakani kwa sasa nafkiri huna hoja na unaonekana ni mtu mwenye uwezo finyu mno wa kufikiri na kuchambua mambo hata kwa kuyatazama tu kwa macho.
 
Kwani samia aliapa kulinda Quaran au kulinda katiba?!
 
all in all udini haukubaliki tanzania, nani anataka udini? Hii ni nchi isiyo ya kiislam, ukileta uislam kuleta vurugu utadhibitiwa tu


Haya, kwani kuna shida basi.

Mimi nawanasihi tu ndugu zangu Waislam tuzichunge damu zetu na tuilinde amani ya nchi. Tusichangie kuivuruga amani ya nchi. Watu wana agenda zao halafu Waislam tuingie kichwa kichwa kwa kisingizio cha "kudai haki". Tuihifadhi amani yetu na tuzichunge damu zetu na tufuate Dini yetu inavyotufundisha katika namna ya kuamiliana na watawala.

Tuwe na subra.

Tushikamane na Dini yetu barabara.


Amani kwanza.

Namuomba Allah Atufishe katika Tawheed na Sunnah, Aamiin.
 
usilete siasa za udini ndugu

1998 Waislam ndo walianza kutaka kuleta ujinga eti mabucha yaondolewe kwenye maeneo ya makazi kuwe na mitaa maalum ya ma butcher ya nguruwe tu , wakaleta leta ujinga uzzuri SHABA HUWA HAIDANGANYI wakaipata fresh

2. Kuna kipindi pia wakaanza kusema ohhh lazima kuchinja iwe ni amri lazima muislam hata nyumbani kwako- SHABA HAIDANGANYI wakaipata fresh yakaisha

3. 2010 - 2014 Waislam wa uamsho wakaanza kuhubiri vurugu na kuanza kuua ua mapadri zzanzibar na Morogoro walileta shida sana - SHABA HAIDANGANYI WAKALAMBWA yakaisha

4. Pemba 2001 kweli waliibiwa uchaguzi lakini na wao wakajibu waliua askari wawili na fujo balaa - SHABA HAIDANGAYI wakaipata fresh yakaisha

5. 2014 Sheikh Ponda alihamasisha sana utengano kuwa waislam wanaonewa mara sijui chuo cha morogoro cha waislam sijui waongezewe na wapi - SHABA HAIDANGANYI - japo alipona lakini ukorofi ukaishia hapo hapo

Kwa hiyo issue sio ukristo wala uislam haya ya juzi ni maandamano ya haramu vijana wakageuka majambazi kuharibu vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…