Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

P wewe ni mwanasiasa tupe maoni ya wananchi haswa....Priority au shida yao ni hizi tunazopigizana nazo kelele au wana priorities nyingine kabisa na hakuna anayezitaja ??
 
P wewe ni mwanasiasa tupe maoni ya wananchi haswa....Priority au shida yao ni hizi tunazopigizana nazo kelele au wana priorities nyingine kabisa na hakuna anayezitaja ??
Kuna mahitaji ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, priorities za wananchi ni za kiuchumi na kijamii, pesa, mfumko wa bei, huduma kijamii afya elimu, maisha bora etc
P
 
Kuna mahitaji ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, priorities za wananchi ni za kiuchumi na kijamii, pesa, mfumko wa bei, huduma kijamii afya elimu, maisha bora etc
P
Hapo ndipo mimi kama mwananchi ningependa tujikite ...kumbuka historically tumekuwa tunadeal na priority za kisiasa na matokeo yake tunayaona hadi sasa...why keep on wasting the resources on politics.
nikifuatilia trend najikuta napata yafuatayo...
Mwalimu Nyerere aling'atuka ili kutua fursa ya mabadiliko hususani kiuchumi na kijamii...doing away from polical stance.
Rais Mwinyi alifungua uchumi .
Mkapa aliboresha namna ya umakini katika kufungua uchumi na kiasi kureform taasisi za kiuchumi.
Rais Kikwete aliunda taasisi za dunia ya sasa za kusimamia uchumi na kuongeza diplomasia ya kiuchumi.
Rais Magufuli alileta paperworks into realities na kuhakikisha tunaondoa gape lilokuwepo na nchi za ukanda wetu.
Mhe. Rais Samia anaboresha huduma za kijamii kwa kasi kubwa sana huku akifungua zaidi diplomasia za kiuchumi ...leo hii ushawishi wetu barani Africa ,kusini mwa Afrika unakuwa kasi ukiwa na approach ya kujinufaisha na fursa za kidunia.

How come mnataka kiturejesha kwenye harakati za ukombozi ??siasa za bugudha n.k
ielewe sasa hoja na haja yangu kama mwananchi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…