Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kwa huu utawala watakuwa wanaogopa kupigwa uhujumu uchumiBasi limelala hilo shirika.

Kwahiyo na kuchinjwa kwajili ya nyama wasichinjwe ?Kwanini sisi hatuoni wanavyowatesa?
Imekuwa research/uzi nzuri sana, maoni ya wengi humu wanaunga mkono huu ukatili kwa nguvu zote yaani kuna watu humu huwa nawaona wamaana kumbe ni 'uncivilized' namna hii! Hawa ndio wa mjini sijui wa huko ndani ndani watakuwa na fikra gani. Inasikitisha sana. Pale juu nilisema wazazi waanze kuwafundisha watoto wakiwa wadogo umuhimu wa kuwapenda wanyamaBasi limelala hilo shirika.
Kuwa mtawala sio ticket ya kufanya ukatili nduguBinadamu ni mtawala wa kila kitu
Ngozi nyeusi na civilisation ni vitu viwili tofauti na ndio maana tuna viongozi wanaopata exposure kila siku lakini bado tu wako uncivilized na Jiwe akiwa ni mmoja wao.Imekuwa research/uzi nzuri sana, maoni ya wengi humu wanaunga mkono huu ukatili kwa nguvu zote yaani kuna watu humu huwa nawaona wamaana kumbe ni 'uncivilized' namna hii! Hawa ndio wa mjini sijui wa huko ndani ndani watakuwa na fikra gani. Inasikitisha sana. Pale juu nilisema wazazi waanze kuwafundisha watoto wakiwa wadogo umuhimu wa kuwapenda wanyama
Kwani nini maana ya kufungwa?wakati huohuo serikali unayoiomba ipige marufuku hao wanyama kukokota mikokoteni Inasisitiza WAFUNGWA wafanyishwe kazi kama WATUMWA[emoji23][emoji23]. Mitano tena [emoji870]
Duh! Mwishowe tutapiga marufuku binadamu kukokota mkokoteniKila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana.
Kwanza ni lazima tujiulize kama hawa wanyama waliumbwa kufanya hizi kazi au ni sisi wanadamu ndio tunawalazimisha kutokana na shughuli zetu za kiuchumi na kijamii.
Na kwa wale wasomaji wazuri wa maandiko matakatifu,kuna mahala popote katika vitabu vitakatifu panapohalalisha wanyama hawa kutumikishwa namna hii?Kama hakuna, mamlaka haya wanadamu tumeyatoa wapi?
Ni wazi mambo haya yamekuwepo tangu enzi za mitume na manabii na pengine hata mitume na manabii hawa hawakuwahi kukemea hali hii.Lakini swali ni je, ni lazima kila jambo likemewe na mitume na manabii ndio tulione haramu?
Nafikiri wakati umefika kama ambavyo dunia iliungana kukosemesha biashara ya utumuwa, dunia sasa iungane kupiga marufuku matumizi haya ya kikatili dhidi ya wanyama.
Unamuon mnyama kachoka kupita kiasi, huku anatoa mapovu mdomoni lakini analazimishwa tu kusukuma mkokoteni kwa mijeledi tunasahau kabisa wanyama hawa nao wameumbwa kwa nyama na damu kama sisi na ndio maana Punda akichoka, hata umpige mijeledi hatembei/hainuki ila sio ng'ombe ataende huku akiumia.
Hata matumizi ya wanyama kama ng'ombe kutumika kama maksai ni ukatili tu kwa manufaa ya mwanadamu ila mnyama huyu hakuumbwa kutumika kwa shughuli za kilimo.
Kama ni jambo gumu, basi tupige marufuku matumizi ya ng'ombe kuvuta mikokoteni na tuache wanyama kama ngamia na Farasi tu kutumika kwa matumizi ya aina hii au yanayofanana na haya.
Matumizi ya Farasi huwezi kulinganisha na ya ng'ombe hasa katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu ambako hata matunzo ya hawa wanyama ni duni kabisa.
Huyu wakupiga faini hadi akukutana na ng'ombe awasalimuMfano hai
[emoji116]View attachment 1699387
Civilisation imekupitia mbali sana.Duh! Mwishowe tutapiga marufuku binadamu kukokota mkokoteni
Hata kula nyama yake ni ukatili mkubwa tena mkubwa zaidi maana ni kuondoa uhai wake,,kukata miti kwa manufaa ya mbao,,kuni, furniture n.k ni ukatili kwa miti,,kufyeka majani ya ua wa nyumba yako ni ukatili sana acha salary,,kuchuma majani na kuyapika si vizuri maana unaondoa uhai wa majani hayo,,kukamua maziwa ni kunyanganya haki ya ndama wale ambao wanategemea maziwa ya mama zao, acha tabia hiyo,,,kwa kweli tujitahidi tuheshimu haki za wanyama wetu,,na mimea,,Kila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana.
Kwanza ni lazima tujiulize kama hawa wanyama waliumbwa kufanya hizi kazi au ni sisi wanadamu ndio tunawalazimisha kutokana na shughuli zetu za kiuchumi na kijamii.
Na kwa wale wasomaji wazuri wa maandiko matakatifu,kuna mahala popote katika vitabu vitakatifu panapohalalisha wanyama hawa kutumikishwa namna hii?Kama hakuna, mamlaka haya wanadamu tumeyatoa wapi?
Ni wazi mambo haya yamekuwepo tangu enzi za mitume na manabii na pengine hata mitume na manabii hawa hawakuwahi kukemea hali hii.Lakini swali ni je, ni lazima kila jambo likemewe na mitume na manabii ndio tulione haramu?
Nafikiri wakati umefika kama ambavyo dunia iliungana kukosemesha biashara ya utumuwa, dunia sasa iungane kupiga marufuku matumizi haya ya kikatili dhidi ya wanyama.
Unamuon mnyama kachoka kupita kiasi, huku anatoa mapovu mdomoni lakini analazimishwa tu kusukuma mkokoteni kwa mijeledi tunasahau kabisa wanyama hawa nao wameumbwa kwa nyama na damu kama sisi na ndio maana Punda akichoka, hata umpige mijeledi hatembei/hainuki ila sio ng'ombe ataende huku akiumia.
Hata matumizi ya wanyama kama ng'ombe kutumika kama maksai ni ukatili tu kwa manufaa ya mwanadamu ila mnyama huyu hakuumbwa kutumika kwa shughuli za kilimo.
Kama ni jambo gumu, basi tupige marufuku matumizi ya ng'ombe kuvuta mikokoteni na tuache wanyama kama ngamia na Farasi tu kutumika kwa matumizi ya aina hii au yanayofanana na haya.
Matumizi ya Farasi huwezi kulinganisha na ya ng'ombe hasa katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu ambako hata matunzo ya hawa wanyama ni duni kabisa.
.....mkuu andika vzr sijakuelewIlikaawapi kikoa na wanyama na wakakukubalia uwafanye vile unavyotaka?
So due to the so called civilisation, that is why U deem , a cattle to pull a cart is inhumane?? And the e.g. of a human being to pull a cart , U deem it that person is not civilised ?? But those are people who are doing the business in town and in the villages of transport goods.Civilisation imekupitia mbali sana.
Kila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana.
Kwanza ni lazima tujiulize kama hawa wanyama waliumbwa kufanya hizi kazi au ni sisi wanadamu ndio tunawalazimisha kutokana na shughuli zetu za kiuchumi na kijamii.
Na kwa wale wasomaji wazuri wa maandiko matakatifu,kuna mahala popote katika vitabu vitakatifu panapohalalisha wanyama hawa kutumikishwa namna hii?Kama hakuna, mamlaka haya wanadamu tumeyatoa wapi?
Ni wazi mambo haya yamekuwepo tangu enzi za mitume na manabii na pengine hata mitume na manabii hawa hawakuwahi kukemea hali hii.Lakini swali ni je, ni lazima kila jambo likemewe na mitume na manabii ndio tulione haramu?
Nafikiri wakati umefika kama ambavyo dunia iliungana kukosemesha biashara ya utumuwa, dunia sasa iungane kupiga marufuku matumizi haya ya kikatili dhidi ya wanyama.
Unamuon mnyama kachoka kupita kiasi, huku anatoa mapovu mdomoni lakini analazimishwa tu kusukuma mkokoteni kwa mijeledi tunasahau kabisa wanyama hawa nao wameumbwa kwa nyama na damu kama sisi na ndio maana Punda akichoka, hata umpige mijeledi hatembei/hainuki ila sio ng'ombe ataende huku akiumia.
Hata matumizi ya wanyama kama ng'ombe kutumika kama maksai ni ukatili tu kwa manufaa ya mwanadamu ila mnyama huyu hakuumbwa kutumika kwa shughuli za kilimo.
Kama ni jambo gumu, basi tupige marufuku matumizi ya ng'ombe kuvuta mikokoteni na tuache wanyama kama ngamia na Farasi tu kutumika kwa matumizi ya aina hii au yanayofanana na haya.
Matumizi ya Farasi huwezi kulinganisha na ya ng'ombe hasa katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu ambako hata matunzo ya hawa wanyama ni duni kabisa.
Wazungu wenyewe wanawatumikisha mbwa, kuku na ng'ombe kwenye mashindano.Unalalamikia juu ya matumizi ya hawa wanyama kufanya kazi au unalalamika juu ya matumizi ya hao wanyama kafanyishwa kazi kikatili???---- kama unalamika juu ya kufanyishwa kazi kikatili, hapo upo sahihi na ndipo penye makosa na dhambi, na hata kuna sheria iliyotungwa inayoitwa inayo deal ukatili dhidi ya wanyama.
Juu ya yote Qur'an inatambua umuhimu wa hao wanyama katika kusaidia wanadamu, Mungu kaumba viumbe wote duniani kwa ajili yetu kufanya maisha yetu yawe rahisi ili tuweze kufanya ibada.
Kama ingalikuwa kumtumia ng'ombe katika shughuli anazomudu bila mateso ni ukatili au dhambi basi dhambi kubwa ingekuwa ni kumchinja na kula nyama yake au kumkamua na kunywa maziwa yake, au vilevile ukatili ungekuwa kuwatumia ngedere na kima, guinea pigs, nguruwe nk, kuwadhuru ili kutafuta tiba za binadamu katika vituo vya uchunguzi.
Mimi mpaka leo huwa siamini kama kweli Mungu alimanisha tuwachinje hawa wanyama ili kupata mlo/mboga kwani ni ajabu kuruhusu mateso makali kama hayo wakati tunaambiwa Mungu ni mwenye huruma.Unalalamikia juu ya matumizi ya hawa wanyama kufanya kazi au unalalamika juu ya matumizi ya hao wanyama kafanyishwa kazi kikatili???---- kama unalamika juu ya kufanyishwa kazi kikatili, hapo upo sahihi na ndipo penye makosa na dhambi, na hata kuna sheria iliyotungwa inayoitwa inayo deal ukatili dhidi ya wanyama.
Juu ya yote Qur'an inatambua umuhimu wa hao wanyama katika kusaidia wanadamu, Mungu kaumba viumbe wote duniani kwa ajili yetu kufanya maisha yetu yawe rahisi ili tuweze kufanya ibada.
Kama ingalikuwa kumtumia ng'ombe katika shughuli anazomudu bila mateso ni ukatili au dhambi basi dhambi kubwa ingekuwa ni kumchinja na kula nyama yake au kumkamua na kunywa maziwa yake, au vilevile ukatili ungekuwa kuwatumia ngedere na kima, guinea pigs, nguruwe nk, kuwadhuru ili kutafuta tiba za binadamu katika vituo vya uchunguzi.
Wazungu wenyewe wanawatumikisha mbwa, kuku na ng'ombe kwenye mashindano.
Wanawatumia farasi kwenye mashindano na vita.