Haki za wanyama: Serikali ipige marufuku wanyama kama ng'ombe kuvuta mikokoteni

Haki za wanyama: Serikali ipige marufuku wanyama kama ng'ombe kuvuta mikokoteni

Mimi mpaka leo huwa siamini kama kweli Mungu alimanisha tuwachinje hawa wanyama ili kupata mlo/mboga kwani ni ajabu kuruhusu mateso makali kama hayo wakati tunaambiwa Mungu ni mwenye huruma.

Sometimes huwa nahisi hata haya magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakitokea kwa karne nyingi duniani huletwa na Mungu kama adhabu kwa maovu ya wanadamu mojawapo likiwa ni ukatili wetu wa kuchinja hawa wanyama.

Hebu chukua wembe ukate kidole chako hata kwa sekundu mbili tu uone kama utaweza alafu jiulize maumivu ya kukatwa shingo na kisu kikali tena mkisitisha uchinjaji ili mkinge damu.

Japo nakula nyama, hakunuzui kusema hisia zangu juu ya kuchinja hawa wanyama na nina wasiwasi kuna sehemu maandiko yamemnukuu vibaya mwenyezi Mungu.

Hata ninaposikia habari ya sikukuu ya kuchinja, huwa sielewi uhalali wa hii siku hata kama tumeambiwa/tulielekezwa na Mitume tunaowaamini.

Binadamu ni mnyama mwenye hadhi kubwa sana mbele ya Mungu kuliko viumbe wote, hata malaika hajafikia hadhi ya Binadamu ndiyo maana wapo malaika kwa ajili ya kumtumikia Mwanadamu.

Viumbe wengine wote ni hivyohivyo, wapo kwa ajili yetu, kwa ajili ya matumizi halali kwa faida yetu hapa duniani ili tuweze kutekeleza sababu ya kuumbwa kwetu yaani kufanya ibada kwa Mungu,ni Yeye Mungu katuumba sisi na hivyo viumbe bila ya hivyo viumbe; (animate and inanimate) maisha yangalikuwa magumu mno au kusingelikuwa na maisha kabisa.

Mtu huwezi kuuza ng'ombe kwa ajili ya kumtibu kuku mmoja, utauza kuku ununue dawa kumtibu ng'ombe, yaani kiumbe mdogo anatumika kunusuru maisha ya kiumbe mkubwa mwenye thamani, hiyo ndiyo hekima na akili, ndivyo hivyo kwa binadamu yeye ni kiumbe mwenye thamani kubwa mbele ya Mungu na viumbe wengine wote wenye thamani ndogo kawafanya wawe chini yetu kwa ajili yetu.

Ni Mungu kasema hivyo na kafanya hivyo kwa hekima zake, haitatokea hata siku moja Ng'ombe, Mbuzi, Mbwa, jiwe, mti, Maji, Moto nk, viwe juu ya binadamu, vipo kwa ajili yetu.
 
Wanampelekea malalamiko Mungu na anawajibu kwa kuteletea ma-covid, town na magonjwa mengine ya milipuko yanayotuua kama kuku wa kideri ingawa hatuelewi/hatujielewi.
Ulivyoandika hivi mkuu nimekumbuka uzi wa jamaa mmoja kuwa hawa wanyama wa kufugwa tunaoishi nao ni ma Spy na hybrid za wanyama wa porini wenye lengo la kuangamiza wanadamu.
 
Binadamu ni mnyama mwenye hadhi kubwa sana mbele ya Mungu kuliko viumbe wote, hata malaika hajafikia hadhi ya Binadamu ndiyo maana wapo malaika kwa ajili ya kumtumikia Mwanadamu.

Viumbe wengine wote ni hivyohivyo, wapo kwa ajili yetu, kwa ajili ya matumizi halali kwa faida yetu hapa duniani ili tuweze kutekeleza sababu ya kuumbwa kwetu yaani kufanya ibada kwa Mungu,ni Yeye Mungu katuumba sisi na hivyo viumbe bila ya hivyo viumbe; (animate and inanimate) maisha yangalikuwa magumu mno au kusingelikuwa na maisha kabisa.

Mtu huwezi kuuza ng'ombe kwa ajili ya kumtibu kuku mmoja, utauza kuku ununue dawa kumtibu ng'ombe, yaani kiumbe mdogo anatumika kunusuru maisha ya kiumbe mkubwa mwenye thamani, hiyo ndiyo hekima na akili, ndivyo hivyo kwa binadamu yeye ni kiumbe mwenye thamani kubwa mbele ya Mungu na viumbe wengine wote wenye thamani ndogo kawafanya wawe chini yetu kwa ajili yetu.

Ni Mungu kasema hivyo na kafanya hivyo kwa hekima zake, haitatokea hata siku moja Ng'ombe, Mbuzi, Mbwa, jiwe, mti, Maji, Moto nk, viwe juu ya binadamu, vipo kwa ajili yetu.
Hizi ni imani ambazo zinaweza kuwa potofu katika maandiko au wahusika walimnukuu vibaya Mungu.
 
Hizi ni imani ambazo zinaweza kuwa potofu katika maandiko au wahusika walimnukuu vibaya Mungu.

Bila vitu vingine wewe ungewaezaje kuishi hapa duniani??-- hewa unayoivuta Oxy, inaingia kwenye mapafu na kutoka Corb,, nguo ya pamba unayoivaa ni mmea wa pamba uliokufa, Mchicha, Samaki, maji unayooga na kunywa na kwenda kukojoa nk, vyote hivyo are pressed by God to serve humanity, na aya ipo katika Qur'an inayosema Vitu vyote vimeumbwa kwa ajili yetu.

Kama wewe unahuruma kwa viumbe basi usile nyama, mchicha nk, tukuone.
 
Hiyo kuumbwa kwa ajili yetu nina wasiwasi imetafsiriwa vibaya tena kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba sisi binadamu tumejiaminisha ni expectional kwa Mungu na tunaweza kuwatendea wanyama kila jambo na tukatumia maneno hayo ku-justfy uovu na ukatili wetu dhidi ya wanyama.
 
Mimi siungi mkono ukatili, ukatili ni dhambi. Hebu chukua mfano umemuajiri mtu kwa kazi fulani na ukamtendea kulingana na mlivyokubaliana je hapo wewe utakuwa ni katili??--- halafu siku nyingine huyo mtu kaja na mmekubaliana afanye kazi hiyohiyo na amefanya ilipofika nusu akakuambia anajisikia vibaya anaomba aje kesho, wewe unachukua bunduki na kumlazisha amalize kazi kama mlivyokubaliana, je huo ni ukatili au sio???.

Yakupasa ujue ukatili ni upi.

Ama kuchinja wanyama ni elimu, sio kila mtu anaweza kuchinja mnyama inavyopasa jinsi sio kila mtu anaweza kudunga mgonjwa sindano.

Mnyama anapochinjwa kupitia shingoni, yaani nusu shingo ili kukata mishipa miwili mikuu ya shingo kuzuia damu isipande kichwani hiyo kwa mnyama, kuku nk, ni "Soft slaughtering", wala hapati maumivu unayofikiria kama ungalikuwa unachinjwa wewe, kwani kuhisi maumivu ni tofauti kati ya wanyama na hata ni tofauti kati ya mtu na mtu.
 
Sasa wana jf' wenzangu naona siyo mbaya tukiwafanyisha kazi wanyama hawa. Ila tukumbuke kuwafanyisha kazi kwa kiasi napia tukumbuke kuwapa mahitaji muhimu kama chakula, maji, na matibabu pale afya zao zinapo tatizika lakini pia tuwafanyishe kazi kwa malengo ili tupate pesa ili tutumie njia nyingine bora zaidi ya kutumia wanyama. Mwisho kabisa mabanda yao yawe safi na salama pia yasiwe na matope mbona watu wote watapenda
 
Back
Top Bottom