Uchaguzi 2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Huwez kuelewa wew ni zombie la jiwe....kwan viongozi wote tunaosema walikua wazuri walikua wanawanunulia wananchi nguo....mijitu mijinga umejaa hapo lumumbi na mavitambi yenu huku mkitoa maushuzi ya shibe kwa kumsifia tu jiwe......bahati mbaya hamjui wajibu wa kiongozi kuinua kipato kwa wananchi wake.
 
Yes, the shock is clear! Hasa kwa kuwa waliamini upinzani "umekufa". Kwa namna alivyo deal na wapinzani kwa miaka hii mitano na "miundombinu na viwanda", hata mimi nilitegemea kampeni za ccm mwaka huu ziwe rahisi na gharama nafuu.....lakini naona inakuwa kinyume chake.....wanacheza tu ngoma za Lissu! Bila shaka tunajua watatangazwa washindi.
 
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Daah! Siamini kama wewe ni ndege JOHN yule mpiga zumari wa lumumba buku 7 enzi za mwanzo mwanzo za utawala wa Magu

Nini kilikusibu mkuu mpaka kupiga U turn.
 
Kuna vijana wa UVCCM hapa Lumumba wakati fulani huko nyuma walijiapiza mbele ya Magufuli "Kwa makubwa uliyowafanyia Watanzania, kwenye uchaguzi wa 2020 wala huhitaji kupanda jukwaani wala kuzunguka nchi nzima kukampeni..... hiyo kazi tuachie sisi baba!"

Sasa hivi nawaona hapa kiungani Lumumba kila mtu anapambana na hali yake..... maana sumu anazomwaga Lissu kwa wapiga kura zimewaacha kama wahanga wa shoti ya umeme!
Kweli aisee kwa sumu za lissu ni hatari kwa ccm. TL na Jiwe ni mbingu na ardhi
 
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Umelala ndani unadhani hata boksa utaweza kununua, fanya kazi kwa bidii acha kulalama. Ukikosa bidii katika kazi lazima umuone kila mtu ni mbaya.
 
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.

Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.

Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.

Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Na kama akishinda akiendeleza ujinga alio ufanya hapo nyuma ajue anaendelea kujenga chuki kwa chama chake cha zamani
 
Ndo binadamu tulivyo, unaweza ukafanya mema 100 ukakosea mambo 2 ukaonekana hufai hata kidogo.

Ki ukweli Dr. Kafanya mambo mengi mazuri ambayo wengi hatukutarajia yatokee katika nchi yetu, lkn kwa sababu hajatoa ajira nyingi na nyongeza ya mishahara basi ndo hafai.

Bila kusahau kaweka mfumo mzuri wa fanya KAZI pata PESA, huu mfumo unawatesa watu wengi waliozoea kula bata, zugazug andikia andiko la uongo na ukweli pata pesa!!

Tuvumilie tuendako kuzuri zaidi tujifinge mkanda baba anajenga nyumba ili tuhame kwenye nyumba ya kupanga uswahilini.
Teh! Teh!
Viva Dr. Viva Dr.!!!

I Will vote him oct 28.!

Mwambie akuchukue Chato mkavute bangi pamoja , October Mvuta bangi anastaafishwa
 
Kuna barua inaandaliwa kutoka kwa Robert Amsterdam kwenda tume ya uchaguzi, hiyo Ndo itakata matumaini kabisa,

ile walitegemea ku- rig election haitakuwepo.

Au ile ya kutotatangaza mshindi mwaka huu haitakuwapo
Kumbe Ufipa kumejaa wapumbavu, Robert Amsterdam ni nani kwa taifa kubwa kama Tanzania? Think tank ya Ufipa ni majanga.
 
Kuna vijana wa UVCCM hapa Lumumba wakati fulani huko nyuma walijiapiza mbele ya Magufuli "Kwa makubwa uliyowafanyia Watanzania, kwenye uchaguzi wa 2020 wala huhitaji kupanda jukwaani wala kuzunguka nchi nzima kukampeni..... hiyo kazi tuachie sisi baba!"

Sasa hivi nawaona hapa kiungani Lumumba kila mtu anapambana na hali yake..... maana sumu anazomwaga Lissu kwa wapiga kura zimewaacha kama wahanga wa shoti ya umeme!
Hao ni Mbonelakule Tanzania version
 
Kwa hilo 'shudu' ulilotema hapo hata mumeo ataishia kukudharau na kukuona kicheche' wa Bei nafuu
Nawewe basha wako ataendelea kukufumua malinda mpaka uchakae,MTU mzima unategemea ajila kwenye mgodi kwa nini baada ya kupunguzwa na kulipwa mafao ulishindwa kuanzisha biashara ya karasha na mulipewa zaidi ya milioni 15,ulikalia starehe bila kujua pesa ya madini ni kama volcano uja na kupotea utamchukia bule kumbe ni ujinga wako,kuna msemo unasema mwenye Mali hana akili na mwenye akili ana Mali naona sasa utajifunza kuwa na nidhamu ya pesa starehe gharama .
 
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Kweli Kamanda!
Lissu akija tutapata jeans na kutumwagia ajira.
 
Nawewe basha wako ataendelea kukufumua malinda mpaka uchakae,MTU mzima unategemea ajila kwenye mgodi kwa nini baada ya kupunguzwa na kulipwa mafao ulishindwa kuanzisha biashara ya karasha na mulipewa zaidi ya milioni 15,ulikalia starehe bila kujua pesa ya madini ni kama volcano uja na kupotea utamchukia bule kumbe ni ujinga wako,kuna msemo unasema mwenye Mali hana akili na mwenye akili ana Mali naona sasa utajifunza kuwa na nidhamu ya pesa starehe gharama .
Wewe ni 'mpuuzi' fulani ambaye unalipwa pesa kiduchu hapo Lumumba kulisha familia yako.
Pathetic!
 
Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Acha upuuzi wewe, kwani hao wengine waliopita waliwahi kutununulia nguo au kutugawia chakula!? Acheni kubeza watu wanapoleta hoja zao. Nadhani ingekuwa vyema kama hoja hizi zingejibiwa kifundi zaidi hizi ni kura ambazo huyo Magufuli anazitafuta huku na kule kwa kutumia pesa za walipa kodi alafu wapuuzi kama nyie mnajibu kipumbavu tu.
 
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.

Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.

Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.

Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
hayo ni maoni yako tu ya hovyokama yalivyo maoni mengine ya wajingawajinga wenzio
 
Huo ni mtazamo wako bwashee.... Lakini kule field Dr Magufuli na CCM wanakubalika sana.

Naibariki siku ya uchaguzi 28/10/2020

Ni WANAFIKI na WACHUMIA TUMBO pekee kama wewe ndiyo wanao ikubali Ccm na pia kumkubali huyo magufuli.
 
Back
Top Bottom