Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwekee hapo acha porojo za kuokotezaFuatilia,wameibiana Kura kinoma,huo uwazi ni maigizo ya uchaguzi huru,haki na wazi
Unataka nikuwekee Kisha wanifanyia kedi!!..huna wakubwa kwenu!!?..kaangalie kwenye makalio ya mama yakoTuwekee hapo acha porojo za kuokoteza
😁😁😁Katiba mpya ndio itawakomboa kifikra wahitimu chuo cha Humprey Polepole
Ulitaka tumchague nani kama hakuna chama mbadala wa CCM? Unataka tuingize nani Ikulu zaidi ya mgombea wa chama tawala ? Upinzani wa Tanzania no hovyo tu.Uchaguzi wa Tanzania, kama kweli upo, ni takataka kabisa na hakuna Afrika nzima. Eti RPC anafahamu wabunge wote na madiwani katika mkoa wake hata kabla ya tarehe ya uchaguzi..!!
Hata huyu IGP mpya aliyeteuliwa majuzi hapo alipo anajua woooote watakaokuwa 'washindi' wa viti vya ubunge, udiwani na urais katika uchaguzi wa mwaka 2025.
Pamoja na mapungufu yaliyopo kwenye uchaguzi wa Kenya lkn huwezi kulinganisha na uchaguzi wa Tanzania ambapo chama kinachoshiriki kwenye uchaguzi ndicho kinaandaa na kuusimamia huo uchaguzi na baadaye kinajitangaza kushinda kwa kishindo. Bure kabisa.
Wewe endelea kujifunza jinsi ya kukataa fomu za Wagombea wa upinzani na wote wakosee kujaza.Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki.
Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika uchaguzi huo kwa kweli sijaona hicho kinachodiwa kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Sioni kama kuna la kujifunza kutoka katika uchaguzi huo kwa sababu zifuatazo:-
#13/08/2022 Daniel Musyoka Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi (IEBC) aliripotiwa kutoweka na mpaka sasa haijulikani alipo.
#13/08/2022 iliripotiwa kuhusu uwepo wa dalili za wizi wa kura katika baadhi ya maeneo ambayo inadaiwa William Ruto amepata kura nyingi ambapo ilielezwa kuwa kura katika vifaa vya KIEMS hazilingani na idadi iliyopo katika Makaratasi.
#12/08/2022 iliripotiwa kuwa Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu.
#12/08/2022 iliripotiwa kuhusu msimamizi wa uchaguzi kukutwa na karatasi za kupigia kura katika kituo cha kuhesabia kura cha Jamhuri katika Jimbo la starehe.
#10/08/2022 iliripotiwa kuwa Polisi wawili na Raia mmoja walikutwa na karatasi za kupigia kura zenye tiki. Pia, Miongoni mwa vifaa vingine vilivyokutwa nao ni sahihi moja ya wapiga kura, Madaftari 2 ya matokeo ya Uchaguzi, pakiti mbili za karatasi za kupigia kura za Urais.
# Kubwa zaidi na la kusikitisha ni kwamba mpaka sasa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haijatangaza matokeo ya kura za Urais pasipo sababu za msingi huku siku zikizidi kwenda hii inatilia mashaka juu ya matokeo yatakayotangazwa kama yatakuwa na uhalisia.
Katika mazingira haya, kweli watanzania wenye akili timamu wanawezaje kuishauri serikali iige kinachotokea Kenya? Ni kweli kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wataweza kusubiri wiki nzima bila kujua aliyeshinda?.
Kitendo cha Vyombo vya habari kutangaza matokeo kiliwafanya wanaharakati pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kuamini kuwa kufanya hivyo ndio uhuru na haki, tujiulize hiyo haki sasa iko wapi? Hivi hamuoni kuwa mlijichanganya kuwahi kuongea bila kufukiria mwisho wa mnachokisema utakuwa nini? Kutofikiria kwenu kumewafanya mkose la kuongea baada ya hali inayoendelea kujitokeza.
Hii ni ishara ya ukosefu wenu wa uweledi katika mambo makubwa yanayohusu uongozi wa nchi.
Huku kwenu Mke wa Mwigulu alimpigia mgombea wa ACT?Hatuwezi kujifunza uchaguzi wa kikabila
Uchaguzi wa Tanzania ni the best kuliko Kenya
Pole sana, kwa bahati mbaya wakati wa porojo uliishakwisha. Ni wazi kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa wa aina zenu, wala matusi hayawezi kukusaidia. Ukijiruhusu kujifunza kukaa kwenye ukweli itakusaidia hata kujenga uwezo wa kutoa hoja zinazolindwa na vielelezo. AMENUnataka nikuwekee Kisha wanifanyia kedi!!..huna wakubwa kwenu!!?..kaangalie kwenye makalio ya mama yako
Matusi kaanza Nani!!?..una kumbukumbu za ngiri!!?Pole sana, kwa bahati mbaya wakati wa porojo uliishakwisha. Ni wazi kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa wa aina zenu, wala matusi hayawezi kukusaidia. Ukijiruhusu kujifunza kukaa kwenye ukweli itakusaidia hata kujenga uwezo wa kutoa hoja zinazolindwa na vielelezo. AMEN
Wapi niliwahi kukutolea lugha ya matusi?Matusi kaanza Nani!!?..una kumbukumbu za ngiri!!?
Rudi nyuma huko tulikotokaWapi niliwahi kukutolea lugha ya matusi?
Pole sana,Rudi nyuma huko tulikotoka
Nenda kalePole sana,
Mwenye jukumu la kuyaleta hayo ya huko (nyuma) tulikotoka, ni wewe unaedai kuwa yapo. Inavyoonekana hauna nukuu yoyote. Matusi hutokea kwa waliokaukiwa hoja za msingi. AMEN.
Kuna mtu nilimjibu kuna shida mkiletewa maendeleo bila ustaarabu ni shida.Habari za weeknd wakuu..!
Kwa wale tunaoendelea kufuatilia uchaguzi wa majirani zetu naomba nitangulize pole zangu za dhati kwa wote kutokana na kile kinachoendelea.
Baadhi yetu tuliposema kwamba Tume ya uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) inajiandalia bomu yenyewe kwa kuruhusu media kurusha matokea ya uchagzui huo wapo wana JF walikuja na na mapambio ya media freedom.
View attachment 2323548
Wengine mlikuja na miluzi mingi ya oooh....tujifunze kwa wenzetu...mara oooh kenya baba wa demokrasia...!! Kiko wapiiii?? hadi leo IEBC wanarukaruka na sarakasi za matokeo huku pande zote TEAM BABA (ODINGA) NA TEAM HUSTLERS (RUTO) zimeshaitangaza washindi kutokana na matokeo ya vyombo vya habari ...kwanza nchekee...ha ha ahaaa.
KWA MATUKIO HAYA NDUGU ZANGU NAWAAMBIA WAMESHAFELI...TUWAOMBEE TU WASIPIGANE MAANA HAYA YANAYOENDELEA HAYATAWAACHA SALAMA NA NATHUBUTU KUSEMA TANZANIA HATUNA CHA KUJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA KENYA ILA IEBC INAPASWA KUJIFUNZA KWETU.
Unahangaika na wapumuliwa migongoni Si utachoka buleHiki kinachoendelea kwenye uchaguzi wa nchini Kenya una mambo mengi sana yasiyowezekana Tanzania kwa Katiba na NEC ya sasa. Alafu mtu anaandika kuwa hakuna kipya cha kujifunza. Kweli?? Au ni kiburi za ujinga?
Hivi Tanzania maboksi ya kura yanaweza kupatikana for re-verifications? Hivi servers za NEC zimeshaweka matokeo 2015-2020 online? Je, ni genuine? au alotangazwa ndo alishinda?View attachment 2342069
Nichoke lakini tuwaambie ukweli na ukweli waujue...Unahangaika na wapumuliwa migongoni Si utachoka bule
Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app