Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Si mbaya kujaribu kutafuta kauli za kujifariji.....hata kama zitakuwa dhaifu lkn si mbaya!
Your analogy is not fitting, we know a robot has an engineer who designed it.We know too little to make any credible argument regarding the existence of God. As a matter of fact, it serves no purpose to require a robot to prove to another robot that there’s a robot engineer who designed and made them!
Your analogy is not fitting, we know a robot has an engineer who designed it.
But you already said we know too little to make any credible argument regarding the existence of God.
So, why do people say God exists if we know too litle to make any credible argument regarding the existence of God?
Unafananisha mfano wa robot kujua engineer aliyem design ambaye tunajua yupo, na mtu kujua Mungu ambaye hatujui yupo.My analogy is perfectly fitting. You’re requiring a robot to prove to another robot that the robots have an engineer who designed them.
All we need to do is acknowledge our ignorance. That’s enough!
We know too little to make any credible argument regarding the existence of God. As a matter of fact, it serves no purpose to require a robot to prove to another robot that there’s a robot engineer who designed and made them!
Unafananisha mfano wa robot kujua engineer aliyem design ambaye tunajua yupo, na mtu kujua Mungu ambaye hatujui yupo.
Unafanya analogy kwa vitu visivyo na uwiano. Unaanza na assumption a priori kwamba Mungu yupo, bila ushahidi.
Halafu unasema tu acknowledge our ignorance.
Bila kujua kwamba, tuki acknowledge our ignorance, hatutakiwi kusema Mungu yupo, tena kwa a priori assumption.
Kwa sababu hakuna chochote kinachotuthibitishia Mungu yupo.
Unaji contradict mwenyewe!
Tunaweza kuthibitisha robot ana engineer aliyemtengeneza. Hili halina mjadala, linathibitishika.Hujaelewa. You know robots have an engineer, but you aren’t a robot! Tatizo lako ni kama kutaka robot ithibitishe kwa robot mwenzake kwamba kuna robot engineer aliyewatengeneza!
We are ignorant. There is no doubt about that. However, a prudent person would rather err on the side of caution by accepting an argument that God exists. It’s reckless to dismiss the existence of God just because you cannot (and no one has been able to) prove His existence!
Si lazima mitaani mkuu , angalia any public event watu hawapendi a angage na national issues why ?Nashangaa unaposema Kikwete akipita mitaani huzomewa, hii si kweli kabisa labda uniambie kuwa ndo maombi yenu
Naungana na wewe kwa asilimia 💯Tokea Uhuru wa Tanzania kama kuna Rais aliyeongoza vibaya na kuharibu kabisa Uchumi wa nchi na kukuza Mmonyoko wa Maadili kwa Watendaji na hata Wananchi huku Kiwango cha Rushwa ( Ufisadi ) ukiongezeka ni Jakaya Mrisho Kikwete.
Huenda nyote mnaompenda na Kumsifia Kutwa Mitandaoni na katika Jamii zetu mnatakiwa mkimbizwe katika Hospitali za wenye matatizo ya Akili ( Wendawazimu ) ili mkapimwe na muanze Tiba ya haraka.
Marais Bora kuwahi kutokea Tanzania ni hawa Wafuatao....
1. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
2. Hayati Benjamin William Mkapa
3. Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Ambao unaona sijawataja hapa jua hawakuwa Bora au si bora halafu sijui pia ni kwanini walikuwa / wamekuwa Marais.
Tunaweza kuthibitisha robot ana engineer aliyemtengeneza. Hili halina mjadala, linathibitishika.
Unataka kulilinganisha hili na mtu kuumbwa na Mungu.
Unaweza kuthibitisha Mungu kamuumba mtu kama engineer alivyomtengeneza robot?
Kama unaweza, thibitisha.
Kama huwezi, utajuaje Mungu huyo yupo kweli?
Unasema we are ignorant, halafu hapo hapo, badala ya kutaka tuondoe ignorance tujue ukweli, unataka tubahatishe mambo kwa kukubali Mungu yupo tu.
Unajuaje Mungu yupo?
Yote kwa yote, tuambieni, Bwawa la Nyerere manjaza lini? Crane la tani 26 limefika wapi? Msipojibu hili swali mtaendelea kutukanwa sana na hiyo gesi yenuNi nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K
Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Nikikwambia katika Euclidean planes kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara, utakubali?I think you’re still mixing up things. You aren’t a robot. Ask a robot to prove to another robot!
Huondoi ujinga kwa kusema tu kwamba wewe sio mjinga. Wewe kama una ujanja wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu, fanya hivyo. Sio kutuambia Mungu hayupo kwasababu tu huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Mimi nikikosea kwa kukubali kuwa Mungu yupo nitakuwa much better off kuliko niking’ang’ana kwamba Mungu hayupo wakati sina uhakika. No prudent man takes that kind of risk!
Even a robot can prove indirectly to the people of thinking on existence of an engineer who made it, it is people who are supposed to know all that due to their intelligence in the same line of thinking one can deduct that men are also created along with other animals etc.--- whatever the name you call Him, Creator must be existing, unfortunately people with poor thinking or rather egos fail to grasp.
On Pascal's wager, read this.I think you’re still mixing up things. You aren’t a robot. Ask a robot to prove to another robot!
Huondoi ujinga kwa kusema tu kwamba wewe sio mjinga. Wewe kama una ujanja wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu, fanya hivyo. Sio kutuambia Mungu hayupo kwasababu tu huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Mimi nikikosea kwa kukubali kuwa Mungu yupo nitakuwa much better off kuliko niking’ang’ana kwamba Mungu hayupo wakati sina uhakika. No prudent man takes that kind of risk!
Mambo ya mayanga hayoTuhuma zote za JK haziwezi zidi tuhuma za uuaji na wizi wa Mwendazake [emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo na kuwapo kwake si hadithi za uongo za watu tu.
On Pascal's wager, read this.
Wakristo wanataka Nchi waongoze wao miaka yote ingekuwa amri yao,Uko sahihi kabisa mkuu yaani ukikuta mtu anamshambulia Jakaya basi lazima amshambie Mzee Mwinyi vile vile Rais Samia.
Ukiunganisha dots utakuta ni udini tu unawasumbua ambao hautawapeleka popote.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndiye Rais bora kabisa kuwahi kutokea katika Taifa hili tangu nchi iumbwe.
Ni mstaafu ambaye anaweza kutembea mtaani pasipo ulinzi na asiguswe hata na nzi maana ni mtu wa watu ukiachilia hawa haters wachache wasio na sababu za msingi isipokuwa kunuka udini uchwara.