Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Viongozi wetu wakina nani? Mimi sina kiongozi ninaye mlamba miguu au kumtukuza. Na si mwanachama wa chama chochote cha siasa.Hamna kitu nachukia kama kuwasema MATAGA kwa mapambio yao ilihali na ninyi mnaimba mapambio Kwa Mwenyekiti kila siku pamoja na blanda kibao ambazo wamekuwa wakifanya viongozi wenu
Mimi nimpenda mabadiliko tu na Mtanzania anaye ichukia ccm, kwa kuitawala nchi yetu kimabavu! Huku wakiwatumia polisi kama ngao yao ya kujilinda.