Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

Watu wengi wamekufa, wengine vilema, wengine wamekua maskini kwa kua alitaka waishi kama mashetani huku akijinasibu kumtanguliza Mungu na kua atakua mkuu wa malaika mbinguni.
Mfyuuuu nani amfanye bedui malaika
Mbingu hatoiona huyo DIKTETA
 
Yupi unaemzungumzia exactly..!

The special one,Mr Mjuaji wa kila kitu?Mtetezi wa wanyonge aliowadhulumu korosho zao Mtwara na kutishia kuwachapa bakora had bibi na babu zao?

Aliezuia wanyonge KUONGEZEWA mishahara na annual incriments kwa zaid ya miaka sita kwa sasa?

Yule ambae sasa hivi huko aliko anawaongoza malaika??

Yupi exactly,aliepigiwa chapuo la KUONGEZEWA muda atawale zaid na mwenyewe akakataa na kuamua kwenda zake??
Huyo huyo siku hizi anaitwa Mwendazake. Alisema ambaye angebaki DAR by July 2016 ni Mwanaume kweli kweli.

Tupo hapa
 
Hana legacy yoyote ile ya maana aliyo iacha! Zaidi tu aliwageuza nyinyi MATAGA kuwa misukule na waimba mapambio wake.
Mbowe na genge lake la wahuni wa saccos wao wana legacy gani waliyoiweka kama si kutengeneza mazezeta tu.
 
Mbowe na genge lake la wahuni wa saccos wao wana legacy gani waliyoiweka kama si kutengeneza mazezeta tu.
Mada inamjadili mtu mwingine, wewe unamjadili "Mbowe na genge lake la wahuni wa saccos" Sijui ndiyo nini! 🤔 Kwa nini usianzishe uzi mwingine ili tumjadili hiyo Mbowe na hilo genge lake la saccos?

Uliwahi kufaulu mtihani kweli wewe wakati unasoma?
 
acha naye huyo AGITATOR anadhani CCM hawakuumizwa akijua ni wapinzani tu
Chama kilibadilishwa kuanziia Katibu mkuu akatolewa huko Ziwa mpaka Makatibu na wagombea wakaletwa hata waliopata kura 12 huko Shinyanga wakaachwa kina Masele.
Hii Historia itafutika mapema maana kuienzi kikabilsa ni vigumu Wanafunzi kuipokea
 
Mungu alikuwepo kabla ya ccm na mzizi wa matatizo ni ccm,Lissu mbaya wake Jiwe ila Dr Ulimboka mbaya wake yupo utawala wa ccm uliopita. Sasa Mungu anatakiwa akusemeshe kuhusu ccm maana ndio kwnye mzizi wa tatizo na sio kuishia kwenye chaguzi kusema huyu ni chaguo la Mungu baada ya uchaguzi chaguo la Mungu linapigwa chini na Ccm. Kama sio Ccm huyo Jiwe angepatikana vp unafikiri?
CCM Haina shida, hata Upinzani sio kuwa ni Wazuri sana kuliko CCM
Marais wote wa Tz wametoka CCM na Wana mazuri yao na mabaya yao.
Lakini kwa case ya Magufuli ilikuwa tofauti. Magufuli ni mtu muovu na mbaguzi, mbabe anayedharau kila kit6 huku akijitia unafiki kuwa ni mcha Mungu.
Mungu alishindwa kuvumilia unafiki mkubwa kiasi kile
 
Magufuli planted the seeds for his own destruction.
Discuss
 
CCM Haina shida, hata Upinzani sio kuwa ni Wazuri sana kuliko CCM
Marais wote wa Tz wametoka CCM na Wana mazuri yao na mabaya yao.
Lakini kwa case ya Magufuli ilikuwa tofauti. Magufuli ni mtu muovu na mbaguzi, mbabe anayedharau kila kit6 huku akijitia unafiki kuwa ni mcha Mungu.
Mungu alishindwa kuvumilia unafiki mkubwa kiasi kile
Tangu lini ccm imeanza kutokuwa na shida?
Kwahiyo Mungu anavumilia utawala wa Kagame huko Rwanda bado hajashindwa kuvumilia?
 
Watanzania hawana tofauti na watu wengine wala mataifa mengine. Bado hawajafikishwa mahali wakaingia mitaani. Hata ambao wameishaingia walijikuta mitaani. Nadhani sababu kubwa si upole wetu au ujinga kama wengine wanavyodhani. Bado Tanzania ni nchi tajiri katika nchi nyingi duniani. Hebu linganisha kiwango cha maisha chetu na majirani zetu ambao umaskini ushawatafuna hadi kwenye mfupa.
 
Wapeno Pole wakwe zake Jpm
1. Cocochanel
2. Mama D
3. Laki si pesa
4. Etc
 
Ndiyo maana Lissu alikiona cha moto alipojipendekeza MIGA.

Tanzania iko makini
Pole bwana. Vipi Kijazi na Magu wako wapi sasa. Wanaozea kwenye mchanga. Jeuri yao iko wapi ndugu? Wamekuda vifo vya aibu na masimamgo.
 
Pole bwana. Vipi Kijazi na Magu wako wapi sasa. Wanaozea kwenye mchanga. Jeuri yao iko wapi ndugu? Wamekuda vifo vya aibu na masimamgo.
Marehem anaonaje aibu.
.....they lived their life.......we bado pambana na yako
 
Back
Top Bottom