Hakika Rais Samia amenifurahisha sana kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China

Hakika Rais Samia amenifurahisha sana kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China

Umesoma au umerukaruka ili uwahi kuandika kwa kidhungu kabla mtu hajakutisha na kukupelekea usahau?
Nimesoma nimeelewa kuwa nyie hamtaki kuwajibika juu ya nchi yenu huku mkifikiri watu wa nje wanapaswa kuwajibika na maendeleo ya nchi yenu.
 
Ishu sio mwekezaji anatoka nchi Gani,dini Gani, ana Rangi gani! Ishu ni mikataba Ina manufaa kwetu au la!
 
Nimesoma nimeelewa kuwa nyie hamtaki kuwajibika juu ya nchi yenu huku mkifikiri watu wa nje wanapaswa kuwajibika na maendeleo ya nchi yenu.
Huna ulichoelewa. Afadhali ungeuliza ningekuelewesha.
 
Umeelezea vizuri sana.Hawa watu sijui wamepata maendeleo kivipi.Ukiangalia Dubai,ilikuwa ni kijiji cha uvuvi,nyumba zilizoezekwa kwa majani ya mitende,miaka ya 80.Hawana mafuta,hawana dhahabu,hawana almasi,hawana madini yoyote.Ni Bandari tu,ndio imewainua kutoka 0 mpaka juu zaidi.
Uongo wa CCM bwana!!!!

Oh Gwanzuu China ilikuwa Kijiji Cha wavuvi!!!!! By Jakaya

Uongo wenu unamwisho tielezeni muda wa mkataba wataeekeza Nini na sisitumewekeza Nini

Leteni valuation report kabla ya kuwaona hicho mnachotaka

Rushwa ni adui wa haki
Waliokula itatokea sehemu yeyote Waarabu sio wajinga
 
Rais anayetumia maarifa zaidi ni yule anayeziangalia kwa makini hoja zinazompinga kuliko zinazo msifia kwa kila jambo afanyalo.
Sio kila aimbaye pambio ni msaada kwako, wengi wanakitu wanakitafuta
 
Una mfananisha Deng Xiaoping na huyu Rais wenu ? I think you are not ok

You Africans you need to be serious in important things don't act childish all the time
Unatokea bara gani ndugu?
 
What should I do then?
Sit around or try to do something i can't manage?
 
Ninaweza nikapinga aina ya mikataba na hawa waarabu, lakini si wawekezaji wa kiarabu. Zaidi ninachojua mimi mikataba hii mibovu huwa inakua engineered na Watanzania wenyewe ili wavute percents zao sababu ya ubinafsi na ufisadi tu.
Hapa Kama tupo pamoja Ila sio perse kabisa. Mie siangalii sura ,rangi etc Ila nachojali nchi ipate haki kwa mktaba mzuri yaani iwe win win situation.
Mfano bandari ikifanya kazi vizuri watt wetu wasome free mpaka chuo ama matibabu yawe free haya manufaa kwa nchi yetu sote
 
Samia kafungua nchi kwa papara mpaka mwishowe ametuacha uchi, sasa mwarabu anatuchungulia tu.
Doooooooooooh kwa hiyo mali zimebaki nje zina demewa na nzi tuu 😂😂
 
Back
Top Bottom