The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwahiyo toka Mwarabu aondoke kwenye hiyo miji uliyoitaja mmeshindwa kupaendeleza nyinyi wenyewe mpaka leo?Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?
USA alitawaliwa na England,kwahiyo nae angekaa kulaumu mpaka leo kua UK hakuijenga US? China alitawaliwa na Japan,so angebweteka tu na kukaa kuwalaumu wajapan kua hawakuijenga nchi yao? Sasa hivi China ina uchumi mkubwa kuliko hao wajapan waliowatawala,USA wana uchumi mkubwa kuliko UK ambao ndio waliwatawala,
Hoja yako haina maana kabisa.