Mbeya Girl
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 298
- 627
Am doing the best I can but still not enoughLove your country, build your country don't depends on strangers to do for you.
Most people are lazy here
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am doing the best I can but still not enoughLove your country, build your country don't depends on strangers to do for you.
Ila sio muafrika?Nipo Afrika
Watu wanapenda nchi pale ambapo serikali ina wajibika kwa asilimia kubwa kwa maendeleo ya nchi.It's okay to Love your country, but my country people wanai defile nchi yao. Hawana uwezo wala nia ya kuijenga bala kuendelea kuinajisi.
Sisi badala tuungane tuwe tunajadili nini chakufanya kila mmoja kwa nafasi yake tuna ponda tu naku zira watu hawapati hasiraWell said.
Hata uchaguzi hawawezi kusimamia na wala hawakuweza kulinda, halafu leo hii wakakinde bandari.
We jamaa unahangaika sana aisee,unazunguka kwenye kila thd na kupost the same! ulikua mpigaji pale port na sasa hofu imekujaa?Samia kafungua nchi kwa papara mpaka mwishowe ametuacha uchi, sasa mwarabu anatuchungulia tu.
Make your government accountable for your problems.Am doing the best I can but still not enough
Most people are lazy here
Matatizo huko bandarini yameanza lini kwani kwa uelewa wako wewe?Kama kwenye awamu yenu mmeshindwa kuendesha bandari kwa nini muashumu kwamba vizazi vyote hawataweza kwa kusaini mkataba wa milele?
HapanaIla sio muafrika?
Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana.
Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi anaweka mafungamano ya kiuchumi na kijamii na Wachina, Wahindi na Waturuki. Hawa pamoja na mafanikio kwenye nchi zao lakini kamwe hawawezi kujuletea matokeo kwake, ni aina ya washirika fulani washenzi washenzi ambao katika ushirika wenu wao huumizwa na mafanikio yako (Sijui hii roho wachina wameiokota wapi).
Kwangu naona waarabu ni very best na hawa, kama tutaacha ujinga wetu wa kutokua makini, naamini waarabu tutafika nao mbali sana.
Kwa kuubadili uelekeo wa nchi kutoka China, India na Turkey na kuuelekeza kwa waarabu, hakika rais Samia umeutuliza moyo wangu.
Ninaweza nikapinga aina ya mikataba na hawa waarabu, lakini si wawekezaji wa kiarabu. Zaidi ninachojua mimi mikataba hii mibovu huwa inakua engineered na Watanzania wenyewe ili wavute percents zao sababu ya ubinafsi na ufisadi tu.
Kwa hiyo in your mindLabda kwa aina ya mikataba, ambalo tatizo huwa ni sisi wenyewe, maana hatupiganii wala kuweka mbele heshima na maslahi ya nchi, lakini waarabu hawana shida at all.
Sasa wewe unawaongelea wale waarabu wenu akina Mzee wa Mjegeje?🤣Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?
Hapo Mwarabu ana tatizo gani sasa?Kwa hiyo in your mind
Mwarabu: Nipe bandari yako nikuendeshee kwa miaka 20 halafu utakuwa unapima performance yangu, Mapato yote natuma kwenye serikali
Samia: Hapana fanya ivi, chukua bandari milele hapafu robo ya mapato utakuwa unanitumia kwenye account yangu uswisi.
Ndo unamaanisha hivo mkuu??
Dhamira yake nzuri wewe unaijuaje kama hasimamii?Tatizo Sa100 ana delegate sana kazi kwa wasaidizi wake (muende kulitazama) matokeo yake wanamdharau wanatuingiza ktk mikataba ya hovyo kwa maslahi ya matumbo yao.
Dhamira ya Sa100 ni njema sawa ila awe mkali na mfuatiliaji zaidi asiwe goigoi wabongo wengi washenzi!
Kwahyo anayeoffer hizi terms huwa ni mwarabu au viongozi wetu?Hapo Mwarabu ana tatizo gani sasa?
OK. Ndio maana. Ila unaipenda sana Afrika na Tanzania. Inakupa uchungu kuiona inaendelea taratibu.Hapana
tunaweza mkuu. sema haya mashirika ya Umma viongozi wanachota sanaWatanzania hata kusimamia miguu tu ni mgogoro
sisiem na bunge lao la maelekezoKwahyo anayeoffer hizi terms huwa ni mwarabu au viongozi wetu?