Hakika Rais Samia amenifurahisha sana kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China

Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?
Kwahiyo toka Mwarabu aondoke kwenye hiyo miji uliyoitaja mmeshindwa kupaendeleza nyinyi wenyewe mpaka leo?

USA alitawaliwa na England,kwahiyo nae angekaa kulaumu mpaka leo kua UK hakuijenga US? China alitawaliwa na Japan,so angebweteka tu na kukaa kuwalaumu wajapan kua hawakuijenga nchi yao? Sasa hivi China ina uchumi mkubwa kuliko hao wajapan waliowatawala,USA wana uchumi mkubwa kuliko UK ambao ndio waliwatawala,

Hoja yako haina maana kabisa.
 
Kweli maana China ni matapeli na makabila wa 21 century,na tungepigwa vibaya sana..

Dunia nzima inakimbilia Uarabuni ndiko pesa ziliko.

Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…