Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Kilichonishangaza hata kama ni kweli mwanamke alibadilisha au alitaka kubadilisha jina kwenye Hati ya nyumba hiyo HAIONDOI haki ya huyo Kweka kwenye UMILIKI wa hiyo nyumba so long as nyumba ILIPATIKANA NDANI YA NDOA!!!!!Sema nilichogundua Watanzania bado wapo kwenye yale maneno ya Mwalimu Ujinga,Umasikini mpiganaji hauwezi kuua familia kwa sababu ya nyumba au gari nisikilize mimi huyo jamaa atakua ana ugonjwa wa akili sio bure anabakiza watoto kwenye majuto ya maisha yao yote kisa nyumba aisee huyo pimbi hana tofauti na muuza sembe..
Mwenyewe siamini eti ni Mali Hadi ifike kuua na mtu ana watoto nae.Ht mi siamini km.mali tu
Kuna namna
Zipo saratani zakutengenezwa,kumbuka ilo piaHuyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Na tukisema wanaume wa kuoa hamna wamebaki wauaji watupu tutakuwa sawa?siyo solution. solution ni kuepuka ndoa. nyakati tulizonazo siyo za kuingia kwenye ndoa. wanawake wa kuoa kizazi hiki hawapo, ni vibaka tupu
Comments za wanaume juu ya hili tukio itoshe kukuaminisha kuwa inawezekana kabisa. Kama watu wanaua hadi wazazi wao kisa mali iweje hili lishindikane?Mwenyewe siamini eti ni Mali Hadi ifike kuua na mtu ana watoto nae.
Ukweli wanajua wenyewe,hata hao ndugu wanao ongea hawaujui ukweli wa hili tatizo.
Shida yenu nyinyi mabinti wa 2000 hamna stahaKilichonishangaza hata kama ni kweli mwanamke alibadilisha au alitaka kubadilisha jina kwenye Hati ya nyumba hiyo HAIONDOI haki ya huyo Kweka kwenye UMILIKI wa hiyo nyumba so long as nyumba ILIPATIKANA NDANI YA NDOA!!!!!
Unachosema ni kweli kabisa, wanaume wengi wanao-support alichofanya Kweka ni wapumbavu, wajinga na umaskini unawasumbua.
Unaharibu familia nzima kwa kitu ambacho kingeweza kuwekwa sawa kwenye vyombo vya sheria.
PoaBibie mambo!
... mbona unageuza taarifa? Wenye nazo ni kina Kweka!Mmh mbona kule insta nimeona waja walikua live mambo ni mengi sn ....mpk kutoa siri kuwa huyo dada baba yake yuko vzr mpk huko moshi ana ma- ghorofa mpk ht hilo wanaloishi??
Swali langu kwann uhangqike na mali za ukweni?au wametupangq?
Umasikini ni mbaya sana niliwaza siku moja nikasema hivi ikatokea mwanamke akachukua hizi mali zangu zote nitoke na kaptula nyumbani sidhani kama naweza kuuua hata iweje tunadhurumiwa na watu hela nyingi na hatuui sembuse uuwe watoto kisa nyumba aisee huo ni umasikini tu na pia watu wengi nimegundua wanaweza kufannya biashara haramu ya kubeba sembe tumboni kama mtu anaweza kuua familia kisa nyumba si anaweza hata kujirisk mwenyewe.Kilichonishangaza hata kama ni kweli mwanamke alibadilisha au alitaka kubadilisha jina kwenye Hati ya nyumba hiyo HAIONDOI haki ya huyo Kweka kwenye UMILIKI wa hiyo nyumba so long as nyumba ILIPATIKANA NDANI YA NDOA!!!!!
Unachosema ni kweli kabisa, wanaume wengi wanao-support alichofanya Kweka ni wapumbavu, wajinga na umaskini unawasumbua.
Unaharibu familia nzima kwa kitu ambacho kingeweza kuwekwa sawa kwenye vyombo vya sheria.
Umasikini ni mbaya sana niliwaza siku moja nikasema hivi ikatokea mwanamke akachukua hizi mali zangu zote nitoke na kaptula nyumbani sidhani kama naweza kuuua hata iweje tunadhurumiwa na watu hela nyingi na hatuui sembuse uuwe watoto kisa nyumba aisee huo ni umasikini tu na pia watu wengi nimegundua wanaweza kufannya biashara haramu ya kubeba sembe tumboni kama mtu anaweza kuua familia kisa nyumba si anaweza hata kujirisk mwenyewe.
Inasikitisha sanaHuyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Noma sana.Comments za wanaume juu ya hili tukio itoshe kukuaminisha kuwa inawezekana kabisa. Kama watu wanaua hadi wazazi wao kisa mali iweje hili lishindikane?
Hawa viumbe wengi akili zimevurugwa au hazipo. Ukijichanganya kwa wa hivyo ndio kwaheri.Noma sana.View attachment 3687618
No sijajageuza bt sikuelewa aisee... mbona unageuza taarifa? Wenye nazo ni kina Kweka!
Huu mwezi una matukio ya Wana ndoa Hadi yanaogopesha,Hawa viumbe wengi akili zimevurugwa au hazipo. Ukijichanganya kwa wa hivyo ndio kwaheri.
Hali ni mbaya.Huu mwezi una matukio ya Wana ndoa Hadi yanaogopesha,
Na huyo shangingi mwemzio baada ya kuona Kweka ana saratani akawa hampi **** na akampora Mali zote.Tutajuaje kama hiyo saratani siyo ya kutengenezewa?Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Sasa kama alikuwa hampi kwanini haukumpa wewe? Mazafanta weweππNa huyo shangingi mwemzio baada ya kuona Kweka ana saratani akawa hampi **** na akampora Mali zote.Tutajuaje kama hiyo saratani siyo ya kutengenezewa?
πππCocastic saa nne nakuchek pm π€£π haiwezkn tufike mpk mbezi turudii patupu
Vipi huko diha. πππMimi nipo njiani nasindikiza mwiliπ