fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Inabidi ukmuongezee babu mandingo 100K🤣🤣😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kwa Waganga kutafuta msaada ndio wanasaidia kwa asilimia kadhaa.1. Babu zetu waliutumia kuita mvua na tiba, WAO WANAENDA WAPI?
2. Wakina Mkwawa na Kinjekitile waliowapiga wazungu kwasababu ya kuleta dini, WAO WANAENDA WAPI?
3. Halafu Mzee baba unajua Africa na sisi tulikuwa na dini kabla kuja kwa wazungu na waarabu?
4. What if ungezaliwa kabla ya wageni kuleta dini uiaminiayo?
5. After all ULITAKA NIZULUMIWE?
#YNWA
Kwenda kwa Waganga kutafuta msaada ndio wanasaidia kwa asilimia kadhaa.
Lakini weka hili Akilini.
Mganga siku akikosa mteja ni wewe utavutwa urudi kwake kwa kwani waganga wana weza kutengeneza matatizo hata maradhi kwa wateja wao.
yani wateja wao ni kipaumbele, kisha wanatengeneza matatizo na kwa watu wengine.
Refer post #17.Hizi riwaya za kutafuta wateja!
Iko hivi....Mimi nilipataga ajali nakumbuka ilikua 2018 niligongana na hiace dereva wa hiace akakimbia ila trafiki kuja kupima ajali ikaonekana mimi ndiyo nimesababisha ajali, na bima ya usafiri ilikua ishaisha kuna jamaa akasema kuna mganga atakusaidi acha kesi iende mahakamani asiehh mambo ya waganga nilishaapa sitakuja jihusisha acha niwekwe ndani au nilipishwe faini nitamtegemea Mungu tu, uzuri Mungu hakupi mtihani utakao ushindwa basi yule mwenye hiace nilimlipa pesa yake ya matengezo maisha yakaendelea,
Donatila aione kwenye jalada.Na wewe umelaaniwa, kwa kuwa unamtegemea mwanadamu:
★Doctor
★Nurse
★Mwalimu
★Mchungaji
★Boss/mwajiri
★Mteja
★Jirani
★Dereva
★N.k
Wote hao ni wanadamu na LAZIMA UWATEGEMEE kwa namna 1 au nyingine
Hiyo pisi iliyokupa koneksheni ya babu, umeikirimu vipi1. Babu zetu waliutumia kuita mvua na tiba, WAO WANAENDA WAPI?
2. Wakina Mkwawa na Kinjekitile waliowapiga wazungu kwasababu ya kuleta dini, WAO WANAENDA WAPI?
3. Halafu Mzee baba unajua Africa na sisi tulikuwa na dini kabla kuja kwa wazungu na waarabu?
4. What if ungezaliwa kabla ya wageni kuleta dini uiaminiayo?
5. After all ULITAKA NIZULUMIWE?
#YNWA
Nitumie no ya huyo babu pm kuna mtu nataka nikampe anaweza kwenda msaidia huku.Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi).
NB:-
Naleta uzi huu si kwa lengo la kutangaza biashara au vipi ila ni KUTOA USHUHUDA WA MAMBO YA DUNIA..!!
FLACK BACK
Mwaka jana mwezi wa 4 nililetewa idea ya biashara na bosi fulani hivi wa huku town nilipo.
Akasema mtaji ni Mimi kuchangia Mil 5 tu ili niwe mshiriki wa hiyo biashara.
Nilimuita ofisini na tukaandikishiana na kumkabidhi hela.
Trip ya kwanza alileta mzigo kamili, tukauza na kupata faida ya mil 4, tukagawana na ule mtaji ikawa nimerudisha mil 7.
Mweki wa 8 ukanifata Tena, akasema safari hii nitoe mtaji mkubwa ili tukapige mshindo mkubwa.
Tukakabidhiana Mil 8.
Zilipita siku, nikawa nikipiga simu hapokei, na nikipiga kwa namba ngeni ananijibu yupo kijijini nisiwe nashaka.
THE PROBLEM
Kwenye mwezi wa 10 mwaka jana, nikiwa kwenye mihangaiko mjini nikamuona.
Ghafla ile na yeye kuniona akakimbia.
Mmmh kichwa kikawaza ""Nishatapeliwa, maana aliniambia yupo kijijini anakusanya mzigo ila nimemuona mjini, na nilivyomuona kanikimbia""
Ikabidi niende kwake usiku, nikamkuta mkewe nikamueleza.
Mkewe akawa ananipa hopeee
ila imefika mwezi wa 11 mwaka jana mkewe nae ananijibu shit ""mlipo kabidhiana hela tulikua wote""
Nikamtafuta rafiki yake, huyu rafiki mwanzo alikua kama ananisaidia hivi ila nae baadae akageuka.
Kufika January, nikaona kimbilio ni polisi.
Kufika Polisi mpelelezi wa jalada langu akaniambia ""Huyu ana marafiki wengi mapolisi, usikubali muelewane hapa, siku za huko mbele atakuzingua nenda mkaelewane mahakamani""
Maana hata siku anaitwa polisi alikua anasalimiana na polisi wengii kishkaji.
Nikafungua kesi mahakama ya mwanzo ""Kosa la kujipatia hela kwa njia za udanganyifu""
Shauri langu likatembea mara Tano (kila wiki mara moja).
Jalada likafungwa.
Likafunguliwa lake.
Kipindi chotee cha kesi hakua na shida wala wasiwasi.
Siku ya kwanza ya upande wake, alisema ""Nilimpa pesa kwa kumsaidia na sio biashara""
Akatoa ushahidi na maneno kibaoo (na hata sijui ushahidi ule aliupata wapi).
Tukaitwa mara ya pili kwenye jalada lake.
Wakaja mashahidi hata nilikua siwajui (mashahidi wa mchongo).
Dah nilivyotoka siku ile nikaona hapa naelekea kushindwa hii kesi.
Ikabidi nimtafute yule askari mpelelezi anishauri.
Dah huyu ndio alinichosha, asiniambie kumbe jamaa anajua mpaka na mume wa hakimu wa kesi yetu.
Yaani nilidata..!!
Kuna siku nipo na enjoy na pisi moja, ikaniona Nina mawazo.
Ikaniuliza nikamuhadithia.
Akaniambia ""Naomba nikusaidie"" nikamjibu sawa.
Usiku ule tulikula starehe asubuhi akaniachia namba ya babu mmoja hivi, kwamba nimtafute nimueleze shida zangu.
Nikampigia babu tukaongea.
Akaniambia niende kwake.
Nikapanda gari (nauli 1000 tu) mpaka kwake.
Babu akanifanyia Mandingo ya kienyeji na kunipa dawa fulani hivi kaifunga kwenye karatasi.
Akasema ""Ukiwa unaenda mahakamani iweke mfuko upande wa kulia, ukingia ukumbi wa mahakama ibadilishe weka mfuko wa kushoto na mtu yoyote akianza kuongea uwe unaiminya dawa"
Siku ya mahakama (siku ya 3 ya jalada lake) ikawadia.
Ikawa akiongea hakimu, shahidi au mdaiwa wangu BASI NAMINYA DAWA.
Eeeh bwana eeh nyie ""Uchawi upo"".
Hakimu akanipa nafasi kuuliza shahidi wa mshtakiwa, eeh wale mashahidi si wakawa wanaropoka tu.
Kuna mmoja ile nimemuuliiza swali nikaminya dawa nikasikia ""Huyu mshtaki hata simjui ndio kwanza namuona Leo""
Mara ""Hata sijui hapa nilikuja kufanya nini""
Upande wake mdaiwa/mshtakiwa ukaisha.
Jalada likafungwa....
Tukatajiwa tarehe ya hukumu.
Dah nikampa taarifa babu.
Babu akaniita Tena.
Akafanya mandingo yake na kunipa dawa ya kuoga, nioge asubuhi (alfajiri) siku ya hukumu.
Siku ya hukumu ikawadia, nikatekeleza masharti.
Kwenda mahakamani ""Hukumu imehahirishwa"" ikapangiwa siku nyengine.
Nikampa taarifa babu.
Babu akaniita. Babu akachukua matunguli kachekii nikasikia ""Wanatutania hawa, Hawajui haki ya mtu hailiwi kijinga?""
Babu akanipa dawa nyengine, ya kuoga siku ya hukumu na kuweka mfukoni. Nikasikia babu ananiambia ""Wakitoka hapa basi wao nomaa""
Siku ya hukumu nikaoga na kuwahi mahakamani.
Kesi yetu ikaitwa.
Hakimu, mimi na mshtakiwa tupo pamoja ukumbini.
Wakati hakimu anasoma hukumu mimi nikawa naminya ile dawa kalii ya babu.
Niliminyaaa kama mara 5 nikaona hakimu kiti hakikaliki, akainuka akatoka.
Kakaa kama dakika 2 akarudi tena ukumbini.
Kusoma hukumu NIMESHINDA na natakiwa kurudishiwa pesa zangu.
Jamaa akahukumiwa kufungwa miezi 3 jela na 6 kifungo cha nje.
Ile kujitetea nikaona hakimu anampunguzia na kumpa miezi 6 kifungo cha nje na arudishe pesa zangu ndani ya mwezi.
Dah nikatoka kwa furaha mahakamani.
Nikamtafuta babu, babu akanipa siku ya kwenda nikiwa na kuku wawili (majogoo) na mchele kilo 5.
Kufika ile siku nikaenda, wale kuku babu akawafanyia mandingo na kuwachinja.
Ubwabwa wa kuku ukapikwa, wakaalikwa watoto tuuu wa majirani waje kula.
Walivyomaliza kula, ile jioni babu akaniita ndani ya ofisi.
Malipo yake akasema 30,000/= niweke chini ya mkeka halafu niondoke nisigeuke nyuma mpaka nikimaliza eneo la nyumba yake.
Mimi sikugeuka nyuma kabisaa mpaka nikapotelea mitaani kwenda stendi ili nirudi home.
Dah hayo ndio yakawa malipo ya Kazi ya babu.
Eeh bwana eeh UCHAWI UPO na UNAFANYA KAZI.
#YNWA
Nguvu zote zinatoka kwa Mungu. Ndio kwa Wakristo tukaambiwa upendo ndio amri kuu. Hii amri ikiandamana na upendo nguvu itaelekezwa kwa mambo mema.Eeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi).

Umefanya vzr Sana laiti ningejuwa ulileta Uzi huu mapema ungenisadia mnk namm nimedhulumiwa HV HV laki Tisa mkuuEeh bwana eeh ni yule yule Mr. Liverpool A.K.A bingwa wa EPL na bingwa wa NBC PL (Mwananchi).

The point is Mil 8 NILIIPATA Tena na gharama ya kesi nililipwa.unajisifia kwenda kwa waganga ambao wana PHD kwenye utapeli siku yako yaja kwani umekwisha waamini asilImia 100. Watakuliza vibaya sana, Trust me
Amen.Shughuli za kiganga ni mbaya na dhambi hasa kwa wale:-
°wanaoumiza wenzao
°kuutumia uganga katika uovu au kufanikisha uovu kudhuru asiye na hatia, kutumia kwa wivu kulazimisha jambo lisilo la haki au hiyari mfano mwanaume akupende au vice versa / chochote kisicho cha haki halali kikifosiwa hutengeneza negativity karma/sin, ambayo ni lazima itakuhit yule mwovu /
That way kuna white magic and black magic.
Ni pisi moja Mfipa (From Matai, Rukwa).Hiyo pisi iliyokupa koneksheni ya babu, umeikirimu vipi
Nilishalipwa mil 10 (pamoja na gharama za kesi).hapo nenda tenaa ili ulipwe sasa
Babu Mfipa kutoka Rukwa@SumbawangaDaaah, babu hakutaka hata milioni 1!
Huyu mbwa alitaka kuzulumu Yatima.Hahaha kila LA kheri mzee Uyatima unatesa sana
Haki HAIPOTEI ila HUCHELEWA tuu.Umefanya vzr Sana laiti ningejuwa ulileta Uzi huu mapema ungenisadia mnk namm nimedhulumiwa HV HV laki Tisa mkuu
Imeniuuma Sana mkuuu yaani acha kbsa
Alfu tokea kesi yangu hii kuanza nakutana na nyuzi za kuloga tu