Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

Unajisifia kwenda kwa waganga ambao wana PHD kwenye utapeli siku yako yaja kwani umekwisha waamini asilImia 100. Watakuliza vibaya sana, Trust me
 
Kwenda kwa Waganga kutafuta msaada ndio wanasaidia kwa asilimia kadhaa.

Lakini weka hili Akilini.

Mganga siku akikosa mteja ni wewe utavutwa urudi kwake kwa kwani waganga wana weza kutengeneza matatizo hata maradhi kwa wateja wao.
yani wateja wao ni kipaumbele, kisha wanatengeneza matatizo na kwa watu wengine.
 
Shughuli za kiganga ni mbaya na dhambi hasa kwa wale:-
°wanaoumiza wenzao
°kuutumia uganga katika uovu au kufanikisha uovu kudhuru asiye na hatia, kutumia kwa wivu kulazimisha jambo lisilo la haki au hiyari mfano mwanaume akupende au vice versa / chochote kisicho cha haki halali kikifosiwa hutengeneza negativity karma/sin, ambayo ni lazima itakuhit yule mwovu /
That way kuna white magic and black magic.
 

Wapo mashekhe na wachungaji wanaofanya wallet za waumini zao ni migodi yao ya pesa.

Weka hii akilini....
Naona kiuka misingi ya waaminicho wapo kila Kona ya duniani.

Ila pia wanaotenda sawasawa na Imani zao zitakavyo pia WAPO.

#YNWA
 
Iko hivi....
Wapo wachungaji matapeli NADHANI UNAWAJUA,
wapo mashekhe waongo NADHANI UMEWASIKIA,
Wapo Waganga matapeli NDIO HAO ULIOKUTANA NAO,

Kifupi kila jambo na taaluma kuna waongo wasiojua nini wanafanya na WENYE UJUZI WAO.

#YNWA
 
Na wewe umelaaniwa, kwa kuwa unamtegemea mwanadamu:
★Doctor
★Nurse
★Mwalimu
★Mchungaji
★Boss/mwajiri
★Mteja
★Jirani
★Dereva
★N.k

Wote hao ni wanadamu na LAZIMA UWATEGEMEE kwa namna 1 au nyingine
Donatila aione kwenye jalada.

Nakala Kwa baba Mchungaji wake aliyemmezesha madudu.

#YNWA
 
Hiyo pisi iliyokupa koneksheni ya babu, umeikirimu vipi
 
Nitumie no ya huyo babu pm kuna mtu nataka nikampe anaweza kwenda msaidia huku.
 
Nguvu zote zinatoka kwa Mungu. Ndio kwa Wakristo tukaambiwa upendo ndio amri kuu. Hii amri ikiandamana na upendo nguvu itaelekezwa kwa mambo mema.

Wachache wataelewa hili. Ila mpaka hapo kuna jambo umejifunza.
 
Umefanya vzr Sana laiti ningejuwa ulileta Uzi huu mapema ungenisadia mnk namm nimedhulumiwa HV HV laki Tisa mkuu

Imeniuuma Sana mkuuu yaani acha kbsa

Alfu tokea kesi yangu hii kuanza nakutana na nyuzi za kuloga tu
 
unajisifia kwenda kwa waganga ambao wana PHD kwenye utapeli siku yako yaja kwani umekwisha waamini asilImia 100. Watakuliza vibaya sana, Trust me
The point is Mil 8 NILIIPATA Tena na gharama ya kesi nililipwa.
Total nilikusanya kama Mil 10.

ULITAKA niwaachie Hakimu na Mshtakiwa wanipige dili?

Bro ushawahi tapeliwa kweli au ndio MOTIVATIONAL SPEAKER anayekwambia jiajiri huku yeye katumwa na Sido (Mwajiri wake) kukufundisha wewe kujiajiri?

#YNWA
 
Amen.

""Kila nafasi iliyoumizwa hutafuta kulipa KISASI""

#YNWA
 
hapo nenda tenaa ili ulipwe sasa
Nilishalipwa mil 10 (pamoja na gharama za kesi).

Na hii ya gharama za kesi nilishauriwa na mwanasheria mmoja hivi hapa ofisini niombe mahakama ifanye "Review ya hukumu" ili malipo yaongezeke.

Kweli bana, at the end nikakipwa Mil 10.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…