Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 wohiiiii.!!
Ila shortmen wasumbufu sana..!

Sasa hapo ungekaacha katume afu tatu uone balaa lake 😹😹
 
Akifuata ushauri wako hapati mme bora achague hapo hapo ili akambadilisheπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sasa watawaoa kina nani?
 
11. Mwanamke mfupi, wana gubu sana na wanaongea/kulalamika usiku kucha
 
wapi alikuwa mlevi?
Amesema mnywa pombe sio mlevi.
Katika desturi za dini ya kiyahudi walikuwa wanakunywa kwenye sherehe na sikukuu au na chakula.

Daudi ni kweli alikuwa mnwaji mzuri tu wa wine, wine si pombe?
Au mnywa pombe hadi anywe Konyagi ndipo ieleweke ni pombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…