Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Wewe umeolewa na nani kwani?
 
namba 7 unataka wasipate wake wa kuoa? Hao ndo wanaongoza kwa kupendwa na wadada.
 

Kigezo ilitakiwa kiwe kimoja tu ,aolewe na mwanamme mwaminifu.
 
Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Youngblood
Baba Swalehe
Mmefikiwa huku

Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Youngblood
Baba Swalehe
Mmefikiwa huku
Sijapenda 🀣🀣
 
Gubu + Ving'ang'anizi

mkitembea wote akifika kwa watu utasikia "msimuone hivi, huyu ndo mke wangu na ananieshimu sana" πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na mganga wa kienyeji je?
Hujafafanua shida yake
 
Yani mlevi same time uwe na hofu ya Mungu, Unawapotosha parefu kimsingi umejinadi tabia zako binafs. Ahsante tumekujua na tutakupigia promo.
 
Sisi tusiokuwa walevi tumewakosea nini? πŸ˜‚
Walevi hujiona timamu sana wanasahau akili inayotegeneq pombe ili ku-Function hii ni akili butu kwamana ni lazima inolewe kila kabla ya kutumika, Dunia ina maajabu Mkuu usishangae.
 
Hivi Kuna uwezekano wa kunywa pombe bila kulewa?
 
Sawa nimekusikia niko tayari kwa Utekelezaji
Ila apo namba 7 Daktari ana shida gani lakini
 
Na wewe unapenda mme wa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…