Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Atleast ujumbe umekufikia......Na umejua JF siyo pa wajingajinga wa aina yako. Hongera

Kama Mmiliki wa JF angekuwa na akili kisoda Kama yako wala usingeniona humu!

Hata hivyo naheshimu wajinga na wapumbavu Kama wewe Kwa sababu ya michango yenu ndani ya jamii
 
Kama Mmiliki wa JF angekuwa na akili kisoda Kama yako wala usingeniona humu!

Hata hivyo naheshimu wajinga na wapumbavu Kama wewe Kwa sababu ya michango yenu ndani ya jamii
Anyway nilikuandikia sentensi fupi tuu lakini naona unamwaga povu la panic. Hapo ndo ujue JF ulikuwa unapuyanga tu, no substance. Jifunze kuwa composed na objective. Hakuna kitu hapo upstairs.
 
Anyway nilikuanfikia sentensi fupi tuu! Naona unamwaga povu la panic. Hapo ndo ujue JF ulikuwa unapuyanga tu, no substance. Jifunze kuwa composed na objective. Hakuna kitu hapo upstairs.

Composed na objective ndio nini au ndio upumbavu wako?
Kama unataka tuzungumze Kingereza sema sio unachanganya vitu Kama akili yako ilivyochanganyika ukachanganyikiwa!
Unafikiri kingereza ndio kitakutambulisha Kama mtu wa maana humu😀😀
 
How old are you boy?! Naonaga unapuyanga tu JF, blah blah. You are too naive to know how the world rolls. Keep on learning silently, stop noisy.
Ushauri Wa bure huo nakupa. Usiendelee kujiaibisha.
Kwa mwerevu ameshatambua kuwa kichwani huna kitu, ni wewe ndio unatakiwa uutumie ushauri wako kujifunza. Kichwa chako ni empty kabisa. Nina doubt una mfumo jike(ninahisi). Leo hii hakuna asiyejua how world rolls.! Labda dunia ya miaka ya 30. Keep learning.!
 
Atleast ujumbe umekufikia......Na umejua JF siyo pa wajingajinga wa aina yako. Hongera
Mbona kama wewe ndio mjinga mkuu? Umejiunga 2012 ila unaonekana bogus. Kwa mwenye akili ameshaelewa kuwa wewe ni bogus kwa kuangalia tu unachoandika.
 
Composed na objective ndio nini au ndio upumbavu wako?
Kama unataka tuzungumze Kingereza sema sio unachanganya vitu Kama akili yako ilivyochanganyika ukachanganyikiwa!
Unafikiri kingereza ndio kitakutambulisha Kama mtu wa maana humu[emoji3][emoji3]
Achana nalo, sijui kubwa jinga hili jamaa? Shusha nondo mkuu!
 
Fact za nini?
Unadhani mapenzi yana formula?
Ama unadhani mkwara unazuia lolote mtu akiamua?
Sasa kama mkwara hauzuii lolote fanya hivi... Amua unachotaka then uone. Uzuri ni kwamba mtoa post ameshapambanua kila kitu, ila unafanya ubongo wako kuwa mgumu.
 
Ndivyo nilivyomwambia wife tukiwa wachumba.
Nilimwambia akinicheat tu msamaha nitakaompa ni kumfukuza kwangu.
Nimewahi kurudia hilo neno baada ya miaka 5 hivi ya ndoa yetu.
Am serious, sitanii. Akifanya hivyo tu na ushahidi ninao yaani nimejiridhisha pasi na shaka biashara inaisha dk hiyohiyo
 
Upo sahihi 💯
 
Kama Mmiliki wa JF angekuwa na akili kisoda Kama yako wala usingeniona humu!

Hata hivyo naheshimu wajinga na wapumbavu Kama wewe Kwa sababu ya michango yenu ndani ya jamii
Kumbe tunaokuona mjingamjinga ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…