Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Nyie wote ni kundi moja. Wenye akili wameelewa, kunguru mnarukaruka tu humu.

Kama kweli wewe unaakili kweli unajiingizaje kwenye majadiliano na mada za Kunguru,
Wewe ndio hamnazo sema bado hujajitambua!

Ukimuuliza Mkeo atakuambia jinsi ulivyo hamnazo sema anakuvumilia tuu
 
Msamaha pekee unaoweza kutoa ni kumfukuza bila kilema! Ikibid hata stahik kadhaa!
Ukiona hata Jesus alipindua torat lakin kwenye zinaa iligota kusamehe mke malaya, ndo ujue ukimsamehe mwanamke uliyejihakikishia kavuliwa chupi nje ya ndoa, umekaribisha kifo ndan! Na umeuza uanaume wako kwa ujinga wako!
Fukuza anza upya!
Master.

Mke sio sawa na mpenzi.

Mpenzi akicheat utamsamehe ?
 
Tunawapenda tunajua hamtaki kuwa wawili so tunajificha ili tusiwaumize
Kinachoumiza ni usiri..na sio uwazi

Mana uliapa uaminifu kwa mke mmoja..na hicho ndo mke anaexpect


Tofauti na hapo ukijulikana wazi ndoa ya wengi anaumia nini??!wkt ulishamjulisha ama unaweka wazi?
 
Mwanadamu sio kiumbe kamili pia ni kiumbe kinachobadilika badilika kulingana na nyakati, hali, au mazingira.So jiandae kwa chochote toka kwake, usiende jela kwa ajili ya mapenzi.
Kama wewe ulimpata hao wengine washindwe vipi kumpata.
 
Back
Top Bottom