Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mwanaume surualiA-cheat asi-cheat ataendelea tu kuwa mke wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume surualiA-cheat asi-cheat ataendelea tu kuwa mke wangu.
Usitake kushindana na mwanaumeSawa
Na we ukimsaliti ufanywe nini?
Au mkuki kwa nguruwe?!
Wewe ndio mjingaAtleast ujumbe umekufikia......Na umejua JF siyo pa wajingajinga wa aina yako. Hongera
Ni aibu sana kama wewe utakuwa we ni mwanaumeHow old are you boy?! Naonaga unapuyanga tu JF, blah blah. You are too naive to know how the world rolls. Keep on learning silently, stop noisy.
Ushauri Wa bure huo nakupa. Usiendelee kujiaibisha.
Huyo nina wasiwasi atakuwa mume bwegeTena idiot pro max huyo.
Basi oa rasmi ujulikane mkeo/wake zako wakujue wazi, usichepukeMwanaume anaoa wake zaidi ya mmoja
Wala sio mashindanoUsitake kushindana na mwanaume
Tunawapenda tunajua hamtaki kuwa wawili so tunajificha ili tusiwaumizeWala sio mashindano
Oa wake wawili hadi wanne rasmi
Ujulikane kabisaa we sio wa mke mmoja
Usichepuke vifichoni..unahofia nini?
Nyie wote ni kundi moja. Wenye akili wameelewa, kunguru mnarukaruka tu humu.Ni aibu sana kama wewe utakuwa we ni mwanaume
Walewale!Wewe ndio mjinga
Hujishtukizii Wanaume wenzako wanakuona waajabu ?Nyie wote ni kundi moja. Wenye akili wameelewa, kunguru mnarukaruka tu humu.
Nyie wote ni kundi moja. Wenye akili wameelewa, kunguru mnarukaruka tu humu.
Hata mimi, nenda kaangalie mwaka alio join JF.Huyo nina wasiwasi atakuwa mume bwege
Ugomvi wa niniMwanaume suruali
Master.Msamaha pekee unaoweza kutoa ni kumfukuza bila kilema! Ikibid hata stahik kadhaa!
Ukiona hata Jesus alipindua torat lakin kwenye zinaa iligota kusamehe mke malaya, ndo ujue ukimsamehe mwanamke uliyejihakikishia kavuliwa chupi nje ya ndoa, umekaribisha kifo ndan! Na umeuza uanaume wako kwa ujinga wako!
Fukuza anza upya!
Kinachoumiza ni usiri..na sio uwaziTunawapenda tunajua hamtaki kuwa wawili so tunajificha ili tusiwaumize
Mkuu ujawahi kuchepuka?Unawezaje kumsamehe mwanamke/mpenzi anaye cheat ?
Nimewahi mara mbili ila niliyekuwa naye hajawahi kujua.Mkuu ujawahi kuchepuka?