Hakikisha kabla hujamuoa Ajue kuwa siku Akiku-cheat utamfukuza bila Mjadala

Mwanadamu sio kiumbe kamili pia ni kiumbe kinachobadilika badilika kulingana na nyakati, hali, au mazingira.So jiandae kwa chochote toka kwake, usiende jela kwa ajili ya mapenzi.
Kama wewe ulimpata hao wengine washindwe vipi kumpata.
Maneno mazito sana haya.
 
Mwanadamu sio kiumbe kamili pia ni kiumbe kinachobadilika badilika kulingana na nyakati, hali, au mazingira.So jiandae kwa chochote toka kwake, usiende jela kwa ajili ya mapenzi.
Kama wewe ulimpata hao wengine washindwe vipi kumpata.

🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Maoni
 
Huu uzi ni wa kuprint na kuuwekea Lamination kabisa kwaajili ya matumizi ya vizazi vijavyo
 
Kwema Wakuu!

Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake.

Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo dume, Inasema; ndani ya familia asiwepo wa kujifananisha, kujilinganisha na wewe(Baba).

Yeyote Yule atakayeingia ndani ya familia yako aielewe kanuni hiyo kwamba humu ndani wewe ndio the top na hakuna wakufanana na kulinganishwa na wewe, iwe ni Baba yako mzazi au Mama yako mzazi akija kukutembelea, iwe ni Wakwe zako wakija kukutembelea, iwe ni ndugu, jamaa au rafiki waijue kanuni hiyo kuwa wewe ndiye top ambaye hakuna wa kufananishwa wala kulinganishwa nawe.

Mwanamke uliyemuoa asijilinganishe na wewe Kwa lolote lile, umwambie na atambue kuwa Hilo litahesabika Kama kosa kubwa la jinai endapo atafanya hivyo. Mwambie hutovumilia Jambo hilo likifanyika, na hutosita kuchukua hatua Kali za kinidhamu Kwa kutananishwa na kulinganishwa na mtu mwingine.

Wewe ni mwanaume, usipende kusikiliza visauti vya kipuuzi kutoka nje,
Mtu yeyote anayetia mashaka uwezo wako akiwa ndani ya familia yako usisite kumkabili ikiwezekana kumfukuza katika nyumba yako.

Mwanaume Jambo kubwa kwake ni kuamini uwezo wake wa kiakili, hisia na kiroho. Ndio maana ukitoa maamuzi asiwepo ndani ya Nyumba wa kuthubutu hata kufikiri kuyapinga.

Taikon huwaga nawashauri Vijana, na Mimi huo ndio msimamo wangu kuwa, Endapo mwanamke utakubali kuolewa na Mimi basi ukae ukijua utafuata amri, maagizo na kanuni zote utakazo zikuta ndani ya nyumba au Mfumo wangu.
Hutaki unakaa pembeni, sijakulazimisha kukuoa, na haupo pekeako Kama Mimi nisivyopekeangu, hivyo kila mmoja anayoruhusa na Uhuru wa kuchagua type na hadhi yake.

Linapokuja suala la ndoa, mwanaume usipende kuamuliwa amuliwa Kama Mpumbavu Fulani hivi. Wewe ndiye muamuzi iweje uamuliwe?

Ati unachelewa Kurudi nyumbani usiku, mwanamke naye anachelewa alafu anakuambia mbona wewe nawe unachelewaga, huyo angekutana na watu Kama Mimi wala asingethubutu kufikiri Kwa namna hiyo. Maana maneno hayo ni kujilinganisha na kujifananisha na wewe.

Mwambie kabisa mwanamke kabla hujamuoa, waambie wazazi wake, Kama ni kanisani siku ya kiapo eleza kabisa kuwa Mimi sio kifo tuu kitatutenganisha Bali hata mwanamke Msaliti na mchawi sitamvumilia, nitamfukuza, nitaachana naye, na hili nilimueleza tangu tukiwa hatujasimama mbele zenu.
Waambie, onyesha wewe ni mwanaume na falsafa yako watu waijue, usifikiri watu watakuelewaje Kwa maana hawana lolote la kufanya katika utawala wako. Wewe nimtu huru unayeongoza maisha yako, na sio maisha yako yanaongozwa na watu wengine, aidha waliopo au waliokufa ambao wameacha maagizo kwenye maandiko. Unajiongoza mwenyewe.

Ndugu Vijana, usiogope kuachwa, usisite kuacha wala kuogopa kuacha mtu asiyejitambua na asiyetaka kuheshimu mamlaka yako. Ni Kheri uishi mwenyewe kuliko kuishi na nyoka ndani ya nyumba.

Usiogope kuishi mwenyewe, bila mke wala bila ya watoto, usiogope hilo ni Jambo la kawaida Sana Kwa mwanaume.

Wewe ni serikali binafsi. Ndani ya serikali hata wasaliti hawavumiliwi hata kidogo, wanafukuzwa.

Usiwasikilize hawa watu WA siku hizi wanaojifanya sijui watu wa kisasa, hakuna usasa hapo zaidi ya upuuzi.
Linapokuja suala la Utawala wako lazima uweke maslahi yako mbele Kama Mwanaume.

Mpende mwanamke anayekupenda, anayetii na kufuata sheria za himaya yako. Mfanye ajione ni mwenye bahati, mtunze, MPE heshima yake Kama malkia katika utawala wako.
Lakini kamwe na katu usimuendekeze mwanamke Mpumbavu asiyejielewa, anayejifanya naye anasheria zake.
Mwanamke Hana sheria Ila anapaswa kufuata sheria, amri na maagizo tuu ya mwanaume.

Akijifanya anavisheria vyake timua, akitaka Ligi muonyeshe wewe ni mwanaume ili awe mfano Kwa jamii na kizazi kingine.

Naongea navijana wanaotaka kuwa wanaume kamili, na wala siongei na wanaume madume jike ambayo kitabia yapo softi softi na hulka ya kike.

Kwenye Dini Tumia Dini kulinda Uanaume wako.
Kwenye sheria tumia sheria kulinda Uanaume wako,
Kwenye Akili tumia akili kulinda Uanaume wako,
Kwenye nguvu tumia nguvu kulinda Uanaume wako.
Kwenye Pesa tumia pesa kulinda Uanaume wako
Kwenye uovu tumia Uovu kulinda Uanaume wako.

Achana na wenye fikra kuwa, mbona wanaume wanalala na wanawake wengine, mwanaume halinganishwi na Mwanamke na kamwe huwezi msikia mwanaume akijilinganisha na Mwanamke.

Nafahamu wanaume asili yetu sio waongeaji, isipokuwa watu wa vitendo. Lakini ni Haki kabisa mwanamke kujua sheria na kanuni zako kabla hajaingia kwenye Ndoa yenu. Usije ukamdhulumu kuwa hukumwambia.

Zaidi, tenda Kwa hekima na busara, lakini kamwe usisahau haki, mpe mwanamke Raha anayestahili kupewa Raha na huyu ni Yule anayekutii na kufuata maagizo yako.

Lakini kama hafuati maagizo yako hata angekuwa ndani ya ndoa miaka ishirini na mnawatoto hata Saba kamwe usimpe Raha mtu asiyestahili Raha. Usijali kuhusu Watoto, usijali kuhusu jamii, usijali kuhusu lolote, Hali heshima yako.

Watoto kamwe hawatakuja kukusaidia lolote Bali heshima yako ndio itakayokusaidia huko mbeleni ndio maana unapaswa uilinde kuliko kitu chochote.

Sio ajabu mwanaume anapaswa kufukuza hata watoto wake ikiwa wataleta Nyenyenye! Wataleta mambo ya kipuuzi, unafukuza, hii itakusaidia mbeleni.

Usipokuwa na Roho ya kiume alafu wewe ni mwanaume nakuhakikishia utateseka Sana,

Ipo tabia ya wazazi wakiume siku hizi ati nao wanajifanya kujipendekeza Kwa watoto hata kama wanavunjiwa heshima zao kisa kutaka kupendwa, looh! Mwanaume mzima unatafuta kupendwa? Nakuhakikishia Kama unatabia hiyo lazima uhenyeshwe huko mbeleni.
Watoto watamzingatia Mama Yao kuliko kukuzingatia wewe Kwa upuuzi wako.

Heshima ya Baba ndio humlinda mpaka uzeeni, na mpaka kaburini.
Na upendo wa Mama ndio humlinda mpaka uzeeni na mpaka kaburini.

Nimemaliza!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hivi Huwa mnapata wapi mda wakuandika makala ndefu hivi
 
Single mother kishakuja kujilinganisha na kujishindanisha kisa una kimshahara cha unesi na wewe unataka uwe kama mwanaume. Mwanaume akisaliti ndio na wewe usaliti ?!
Unaruka ruka vya nini

Usingle mother na unesi umeingiaje?

Swali ni jepesi tu
Wewe itakuwaje?
Kwani nimesema na mi nasaliti?.
Mbona km umepagawa?
 
Unaruka ruka vya nini

Usingle mother na unesi umeingiaje?

Swali ni jepesi tu
Wewe itakuwaje?
Kwani nimesema na mi nasaliti?.
Mbona km umepagawa?
Kwasababu nyie viji career woman mnajilinganisha na wanaume na ndio maana mnaishia kuzalishwa na KUTUPWA KAMA CONDOM USED.

Tangu lini mwanaume akasaliti ?! Mwanaume aweza kuoa wake 1,000 kama Suleman na asihesabiwe hatia kwa sababu mwanaume sio mwanamke. Mwanamke akizini alihukumiwa mawe mpaka kufa kwa mujibu wa Torati.

We endelea kujilinganisha na wanaume na utaendelea kua jamvi la wageni na ndio yakufaa. Utajilinganisha na wanaume ila wewe ni mwanamke tu.
 
Mbona unapanic??
Vp career women wanakutisha😅
Mana naona ur triggered hehe

Anyways
Km wewe husaliti mbona huoi rasmi hao wengi??oa ujulikane we wa wanawake wengi
unaiba iba na kujificha ya nini
Unaenda kanisani kuapa na mmoja ya nini
Oa ujulikane jamii ikutambue wazii

Ikifika hp lazma mkwamee hehehe😅😅🤣🤣🤣
Kazi kujichepusha mnajifiiichaaa
Unachepuka ya nini si uoeee🤣🤣😅😅
OA rasmi uhudumie baba we si ndo kidume
Hata kumi oaa tukuonee
Oaaaa...
Km una huo ubavu wa kusimamisha hio miji leta ushahidi
Sio chovya chovya
Nyie si ndo wanaume bwn
Oaaaaa
 
Oaaaaaoimeoa wake mawili natarajia kuoa watatu mapema mwakani, hapo unasemaje mungaiyembe ?!

Mbona unapanic??
Vp career women wanakutisha😅
Mana naona ur triggered hehe

Anyways
Km wewe husaliti mbona huoi rasmi hao wengi??oa ujulikane we wa wanawake wengi
unaiba iba na kujificha ya nini
Unaenda kanisani kuapa na mmoja ya nini
Oa ujulikane jamii ikutambue wazii

Ikifika hp lazma mkwamee hehehe😅😅🤣🤣🤣
Kazi kujichepusha mnajifiiichaaa
Unachepuka ya nini si uoeee🤣🤣😅😅
OA rasmi uhudumie baba we si ndo kidume
Hata kumi oaa tukuonee
Oaaaa...
Km una huo ubavu wa kusimamisha hio miji leta ushahidi
Sio chovya chovya
Nyie si ndo wanaume bwn
Oaaaaa
Ooh kumbe sikukuhabarisha, nimeoa wanawake wawili natarajia kuoa mke watatu mapema mwakani na Inshallbh dini yaniruhusu. Vipi hapo nungaiyembe ?!

Wewe endelea kujilinganisha na wanaume hivyo hivyo dume jike si dume jike wenzako wanakumbatiwa wewe unabishana mitandaoni, jinsi gani uko mpweke pole mnajitakia na mtakoma unakua kopo la kutunza manii.
 
Ooh kumbe sikukuhabarisha, nimeoa wanawake wawili natarajia kuoa mke watatu mapema mwakani. Vipi hapo nungaiyembe ?!
Leta ushahidiiii..
Vinginevyo huna lolote...wala si chochote..

Na usiache hadi ufikishe kumi ukiwa mbioni kumfikia Sulemani ili tukujue we ndo dume la mbegu
 
Wewe endelea kujilinganisha na wanaume hivyo hivyo dume jike si dume jike wenzako wanakumbatiwa wanapendwa wewe na nanungaiyembe menzako uko unabishana mitandaoni, jinsi gani uko mpweke pole mnajitakia na mtakoma unakua kopo la kutunza manii tu hakuna wa kukuoa kwa mindset yako ya kijinga kujilinganisha na wanaume.
 
Wewe endelea kujilinganisha na wanaume hivyo hivyo dume jike si dume jike wenzako wanakumbatiwa wanapenda wewe na nanungaiyembe menzako uko unabishana mitandaoni, jinsi gani uko mpweke pole mnajitakia na mtakoma unakua kopo la kutunza manii tu hakuna wa kukuoa kwa mindset yako ya kijinga kujilinganisha na wanaume.
Hahahah umeombwa ushahidi unapanic🤣🤣🤣🤣
huna ushahidi kuwa hata umeoa
Hata mke mmoja tu

Una ushahidi gani mi ni nungayembe sijui mnaita🤣😅😅?.,
If that makes you sleep well at night,believe it

Ila ubavu huo wa kupangisha watu msururu hunaa
Km unao thibitisha hp heheheheh😅🤣🤣

Usipanic bro ni taratibuu tuu
Wapi nmejilinganisha na wanaume?
Nimekwambia leta ushahidi una hao wake 2🤣🤣unaruka ruka
We si kidume bwn
 
Kwema Wakuu!

Andiko hili linawahusu Vijana ambao hawajawahi pata kuishi na Wababa wenye tabia za Uanaume, ambao hawajawahi kushauriwa mambo ya kiumeni hasa katika kipengele cha Mahusiano na namna ya mwanaume kulinda heshima yake.

Kabla sijafika mbali; moja ya kanuni ya kiumeni katika mfumo dume, Inasema; ndani ya familia asiwepo wa kujifananisha, kujilinganisha na wewe(Baba).

Yeyote Yule atakayeingia ndani ya familia yako aielewe kanuni hiyo kwamba humu ndani wewe ndio the top na hakuna wakufanana na kulinganishwa na wewe, iwe ni Baba yako mzazi au Mama yako mzazi akija kukutembelea, iwe ni Wakwe zako wakija kukutembelea, iwe ni ndugu, jamaa au rafiki waijue kanuni hiyo kuwa wewe ndiye top ambaye hakuna wa kufananishwa wala kulinganishwa nawe.

Mwanamke uliyemuoa asijilinganishe na wewe Kwa lolote lile, umwambie na atambue kuwa Hilo litahesabika Kama kosa kubwa la jinai endapo atafanya hivyo. Mwambie hutovumilia Jambo hilo likifanyika, na hutosita kuchukua hatua Kali za kinidhamu Kwa kutananishwa na kulinganishwa na mtu mwingine.

Wewe ni mwanaume, usipende kusikiliza visauti vya kipuuzi kutoka nje,
Mtu yeyote anayetia mashaka uwezo wako akiwa ndani ya familia yako usisite kumkabili ikiwezekana kumfukuza katika nyumba yako.

Mwanaume Jambo kubwa kwake ni kuamini uwezo wake wa kiakili, hisia na kiroho. Ndio maana ukitoa maamuzi asiwepo ndani ya Nyumba wa kuthubutu hata kufikiri kuyapinga.

Taikon huwaga nawashauri Vijana, na Mimi huo ndio msimamo wangu kuwa, Endapo mwanamke utakubali kuolewa na Mimi basi ukae ukijua utafuata amri, maagizo na kanuni zote utakazo zikuta ndani ya nyumba au Mfumo wangu.
Hutaki unakaa pembeni, sijakulazimisha kukuoa, na haupo pekeako Kama Mimi nisivyopekeangu, hivyo kila mmoja anayoruhusa na Uhuru wa kuchagua type na hadhi yake.

Linapokuja suala la ndoa, mwanaume usipende kuamuliwa amuliwa Kama Mpumbavu Fulani hivi. Wewe ndiye muamuzi iweje uamuliwe?

Ati unachelewa Kurudi nyumbani usiku, mwanamke naye anachelewa alafu anakuambia mbona wewe nawe unachelewaga, huyo angekutana na watu Kama Mimi wala asingethubutu kufikiri Kwa namna hiyo. Maana maneno hayo ni kujilinganisha na kujifananisha na wewe.

Mwambie kabisa mwanamke kabla hujamuoa, waambie wazazi wake, Kama ni kanisani siku ya kiapo eleza kabisa kuwa Mimi sio kifo tuu kitatutenganisha Bali hata mwanamke Msaliti na mchawi sitamvumilia, nitamfukuza, nitaachana naye, na hili nilimueleza tangu tukiwa hatujasimama mbele zenu.
Waambie, onyesha wewe ni mwanaume na falsafa yako watu waijue, usifikiri watu watakuelewaje Kwa maana hawana lolote la kufanya katika utawala wako. Wewe nimtu huru unayeongoza maisha yako, na sio maisha yako yanaongozwa na watu wengine, aidha waliopo au waliokufa ambao wameacha maagizo kwenye maandiko. Unajiongoza mwenyewe.

Ndugu Vijana, usiogope kuachwa, usisite kuacha wala kuogopa kuacha mtu asiyejitambua na asiyetaka kuheshimu mamlaka yako. Ni Kheri uishi mwenyewe kuliko kuishi na nyoka ndani ya nyumba.

Usiogope kuishi mwenyewe, bila mke wala bila ya watoto, usiogope hilo ni Jambo la kawaida Sana Kwa mwanaume.

Wewe ni serikali binafsi. Ndani ya serikali hata wasaliti hawavumiliwi hata kidogo, wanafukuzwa.

Usiwasikilize hawa watu WA siku hizi wanaojifanya sijui watu wa kisasa, hakuna usasa hapo zaidi ya upuuzi.
Linapokuja suala la Utawala wako lazima uweke maslahi yako mbele Kama Mwanaume.

Mpende mwanamke anayekupenda, anayetii na kufuata sheria za himaya yako. Mfanye ajione ni mwenye bahati, mtunze, MPE heshima yake Kama malkia katika utawala wako.
Lakini kamwe na katu usimuendekeze mwanamke Mpumbavu asiyejielewa, anayejifanya naye anasheria zake.
Mwanamke Hana sheria Ila anapaswa kufuata sheria, amri na maagizo tuu ya mwanaume.

Akijifanya anavisheria vyake timua, akitaka Ligi muonyeshe wewe ni mwanaume ili awe mfano Kwa jamii na kizazi kingine.

Naongea navijana wanaotaka kuwa wanaume kamili, na wala siongei na wanaume madume jike ambayo kitabia yapo softi softi na hulka ya kike.

Kwenye Dini Tumia Dini kulinda Uanaume wako.
Kwenye sheria tumia sheria kulinda Uanaume wako,
Kwenye Akili tumia akili kulinda Uanaume wako,
Kwenye nguvu tumia nguvu kulinda Uanaume wako.
Kwenye Pesa tumia pesa kulinda Uanaume wako
Kwenye uovu tumia Uovu kulinda Uanaume wako.

Achana na wenye fikra kuwa, mbona wanaume wanalala na wanawake wengine, mwanaume halinganishwi na Mwanamke na kamwe huwezi msikia mwanaume akijilinganisha na Mwanamke.

Nafahamu wanaume asili yetu sio waongeaji, isipokuwa watu wa vitendo. Lakini ni Haki kabisa mwanamke kujua sheria na kanuni zako kabla hajaingia kwenye Ndoa yenu. Usije ukamdhulumu kuwa hukumwambia.

Zaidi, tenda Kwa hekima na busara, lakini kamwe usisahau haki, mpe mwanamke Raha anayestahili kupewa Raha na huyu ni Yule anayekutii na kufuata maagizo yako.

Lakini kama hafuati maagizo yako hata angekuwa ndani ya ndoa miaka ishirini na mnawatoto hata Saba kamwe usimpe Raha mtu asiyestahili Raha. Usijali kuhusu Watoto, usijali kuhusu jamii, usijali kuhusu lolote, Hali heshima yako.

Watoto kamwe hawatakuja kukusaidia lolote Bali heshima yako ndio itakayokusaidia huko mbeleni ndio maana unapaswa uilinde kuliko kitu chochote.

Sio ajabu mwanaume anapaswa kufukuza hata watoto wake ikiwa wataleta Nyenyenye! Wataleta mambo ya kipuuzi, unafukuza, hii itakusaidia mbeleni.

Usipokuwa na Roho ya kiume alafu wewe ni mwanaume nakuhakikishia utateseka Sana,

Ipo tabia ya wazazi wakiume siku hizi ati nao wanajifanya kujipendekeza Kwa watoto hata kama wanavunjiwa heshima zao kisa kutaka kupendwa, looh! Mwanaume mzima unatafuta kupendwa? Nakuhakikishia Kama unatabia hiyo lazima uhenyeshwe huko mbeleni.
Watoto watamzingatia Mama Yao kuliko kukuzingatia wewe Kwa upuuzi wako.

Heshima ya Baba ndio humlinda mpaka uzeeni, na mpaka kaburini.
Na upendo wa Mama ndio humlinda mpaka uzeeni na mpaka kaburini.

Nimemaliza!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Thanks Sana Mkuuu hakika umenena vyema maneno yako yadumu zaid
 
Hahahah umeombwa ushahidi unapanic🤣🤣🤣🤣
huna ushahidi kuwa hata umeoa
Hata mke mmoja tu

Una ushahidi gani mi ni nungayembe sijui mnaita🤣😅😅?.,
If that makes you sleep well at night,believe it

Ila ubavu huo wa kupangisha watu msururu hunaa
Km unao thibitisha hp heheheheh😅🤣🤣

Usipanic bro ni taratibuu tuu
Wapi nmejilinganisha na wanaume?
Nimekwambia leta ushahidi una hao wake 2🤣🤣unaruka ruka
We si kidume bwn
Unaweka emoj za kujichekesha mwanzo mwisho, watu wenye tabia hii ni watu wapweke na hujifanya wenye furaha. Na nani kakwambia nimepanic, yani kahaba wa mtandaoni anifanye nipanic ebo !!

Sikiliza, osha hilo bakuli subiri mteja anaefuata kinga manii thats what you are good at, sio kujichekesha ati uonekana unafuraha, huna hata punje ya furaha wanawake wenye furaha hawakeshi mitandaoni wanajibizana labda ulidhani umepata mteja, hell no, back off situmii malay.a wa mitandaoni
 
Unaweka emoj za kujichekesha mwanzo mwisho, watu wenye tabia hii ni watu wapweke na hujifanya wenye furaha. Na nani kakwambia nimepanic, yani kahaba wa mtandaoni anifanye nipanic ebo !!

Sikiliza, osha hilo bakuli subiri mteja anaefuata kinga manii thats what you are good at, sio kujichekesha ati uonekana unafuraha, huna hata punje ya furaha wanawake wenye furaha wanakeshi mitandaoni wanajibizana back off situmii malay.a wa mitandaoni
Hahaha.,we jamaa bwn
Nacheka ulivyopanic na dhania ulizoweka kichwani..
Ama bado hujajijua umepanic hehehe
Mbona umejikita kwenye matusi na sio hoja iliyopo mezani?
Mara sijui malaya sijui bakuli yametoka wapi hayoo hahahah😅

Ni ishu ndogo tu
Prove kweli we una hao wake wawili hapa
Hata msg tu walizokuita mume wangu...
vinginevyo tunarudi to sqr1 km nlivyokueleza awali kuwa huna lolotebasi ama labda we basha, ama uko kwny mambo yenu ya rainbow yale hahah
Pambanaaa
 
Back
Top Bottom