Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.
Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawaza ngono tuCCM bado mna miaka 50 ya kuwatawala hawa vijana.
Naam.Wanawaza ngono tu
Hao Wanaojifanya wana hofu ya mungu wanapigwa kirahisi sana.Hakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Yote hayo ya nini?Hakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Sasa tuwaze nn na kazi zenyewe za kuajiliwa hakuna ubunifu ni business as usual tukutane mwisho wa mweziWanawaza ngono tu
Usioe wewe haya yote ni kwa aliyeoaYote hayo ya nini?
Si bora usioe tu.
Kama wanaact lazima wapigwe tuu.Hao Wanaojifanya wana hofu ya mungu wanapigwa kirahisi sana.