Oa mwenye hofu sio anaejifanyaKama wanaact lazima wapigwe tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa mwenye hofu sio anaejifanyaKama wanaact lazima wapigwe tuu.
Mwanamke kabla hujamuoa umeshafanya nae tendo la ndoa kama mara ishirini.Oa mwenye hofu sio anaejifanya
Pole sana ndugu yangu, jipige kifuani mara tatu tamka " hili nalo litapita"
Jiulize ni kwa nini wanawake awe ameolewa na tajiri au maskini lakini siku mumewe akifa hua anapta furaha na raha zaidi.Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.
Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Ndo uelewe mwenye hofu ya Muumba wake hapigi kabla ya ndoa, kwani kama wewe ulimpiga kabla ya ndoa nini kitamzuia asipigwe?Mwanamke kabla hujamuoa umeshafanya nae tendo la ndoa kama mara ishirini.
Huyo hana hofu ya Mungu hata kidogo.
Na wew pia.
Ndio point yangu hiyo mkuu.Ndo uelewe mwenye hofu ya Muumba wake hapigi kabla ya ndoa, kwani kama wewe ulimpiga kabla ya ndoa nini kitamzuia asipigwe?
Tuko pamojaNdio point yangu hiyo mkuu.
Hofu Haina impact katika matendo. Hiyo hofu ingewafanya vilema wangeacha.Kama wanaact lazima wapigwe tuu.
Lindeni maisha yenu msipambane kulinda uhusiano na wanawake ambao haujulikani duniani wanataka nini.Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.
Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Sasa page za mapenzi na mahusiano ulitaka watu wawaze kitu gani?Naam.
Miongoni mwa kulinda maisha yenu ni kulinda maisha ya mke wako akiwa salama na wewe unakuwa salama akiyakanyaga nawe umoLindeni maisha yenu msipambane kulinda uhusiano na wanawake ambao haujulikani duniani wanataka nini.
Nje kutamu unapewa mautamu hadi rahaNawasanua wana musije kusema sijawaambia.
Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Sina hakika na maneno yakoHao Wanaojifanya wana hofu ya mungu wanapigwa kirahisi sana.
Bwana wee....siku hizi ni mwendo wakushare tuuBro acha ubinafsi, Kuna mke wa peke Yako zama hizi?
Umeonge bonge la point.👍👍Jiulize ni kwa nini wanawake awe ameolewa na tajiri au maskini lakini siku mumewe akifa hua anapta furaha na raha zaidi.
Wanawake ni wasaliti kuliko wanaume . Kinachowasaidia ni uwezo wao wa kutunza siri. Mwanaume hawezi kumsingizia mwanamke mtoto lakini mwanamke anaweza kumsingizia mwanaume hata watoto watano na hatakaa hata siku moja ajue labda iwe vinginevyo .
Ikatokea mwanamke akawa na mwanaume nje ya ndoa halafu ikatokea mtoto wake wa kuzaa akashtukuza mchezo na akamwambia baba yake live kuwa yule anko Jezuu anakujaga kulala na mama ukiwa umesafiri . Hakika kama kuna mafuta yanachemka au maji ya moto au shoka pembeni mwanamke bila shaka yoyote atamwagia mtoto wake na au kumuua au kumjeruhi vibaya sana. Na atakua ni adui mkubwa maisha yake yote .
Yote ni kwa sababu mwanamke kamwe hataki siri yake ya kuchepuka ijulikane.
Tofauti na mwanaume.
Kuna wanaume wengi wanajidanganya kuwa wanawake hawachepuki kama wanaume , hiyo ni nadharia ya zamani wakati wanawake wana keketwa na pia palikua hakuna kazi maofisini au safari za biashara za kuwakutanisha wanawake na wanaume tofauti tofauti.
Kwa sasa wanaume wengi hawana hata huo uwezo wa kuchepuka na wanawake tofauti tofauti kutokana na kukosa nguvu na hamu ya tendo la ndoa kutokana na ugumu wa maisha .
Wanawake kwa sasa wana pesa za kuhonga vijana wadogo kwa sababu ya tamaa za ngono.
Ngoma imebalance kwa sasa.
Hakikisha hamwiti mchungaji DADDYHakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Bado unajidanganya mkuuSasa unahakikisha vipi ikiwa yeye ndio kautaka???
Yeye akianza itakuwa jambo jema kujizuia
Na ndio maana kuna muda naelewa anaesema ya kuwa ni bora uoe mtu ambae tayari kashapitia kila hatua hivyo kwake hakuna kigeni kuliko brand new ambae hata umlishe kuku daily siku akionja senene tu atatamani tena
All in all, kuna vitu vya kuonja vingine hutotamani tena na kuna vingine ni kama madaw ya kulevya
Lazima utake tena na tena na usipopata lazima uteseke