Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Nawasanua wana musije kusema sijawaambia.

Nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu, najua ninachokiongea hapa.
Mkuu, mtazamo tofauti, Mwanaume ukitaka amani usiendekeze kutamani kupendwa pendwa. We mpe kumbukumbu za kudumu.

Ukiwa na mwanamke mpe mimba za kutosha lea wanao akikutaka mpe haki yake, asipotaka akiwatazama wanao atakukumbuka, mambo ya kupenda mwachie mwenyewe yasikuhusu.
 
Hakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Mkuu hata ukifanya uliyoandika hapa mtu akiamua kutoka atatoka tu
 
Inategemea kwenye chemistry tunasema at standard temperature and pressure.
 
Back
Top Bottom