Anavyoona MTU nafsini mwake NDIVYO alivyo na NDIVYO aishivyo, mwanadamu katika Dunia hi ni kama kioo tu tunaakisi tulivyo NDANI kwa ulimwengu unaotuzunguka Ndio maana huyo jamaa anaona Yeye kutokuwa na hofu ya MUNGU na wengine wote hawana Hofu ya MUNGU kitu ambacho sio Kweli
Ukiwsahihia mwizi lazima utahisi unaibiwa kila wakati B'se hali ya MTU ya NDANI huathiri na ulimwengu unaomzunguka Ndio maana jamaa kwasababu Yeye ni mpumbavu Kwahiyo anahisi watu wote ni wapumbavu, hali yake ya NDANI imeathiri na ulimwengu unaomzunguka ni HATARI Sana