mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
🤣🤣🤣Mbona watoto washalala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mbona watoto washalala
Umefurahia cha asbh jaman
Nitakupa usijali ngoja niwasikilizie wahusika wakuuLocation ya tukio
Poa,umeamka salama lakinNitakupa usijali ngoja niwasikilizie wahusika wakuu
Kabisaa rafk yangu nimemaliza kufanya zoezi la kutengeneza shape sasa nataka kwenda kuoga niende zangu kwa mme wangu ofcn, nimeolewa kwa mkataba hadi miaka 60 ndio mkataba unaishaaa, ananitumia asbh hadi jioni kasoro week end tuuPoa,umeamka salama lakin
Sahihi kila mtu afanye wajibu wakeTekeleza wajibu wako Ili hata akitoka ni wepesi wewe kujua
Imeshauriwa kuoa mwanamke mwenye hofu ya MUNGU sio anaejifanya kua na Hofu ya MUNGU, anaejifanya kua na hofu ya MUNGU na hana iyo hofu ya MUNGU ni MNAFIKI na hakuna NDOA inaweza kustawi na kukua mahali penye UNAFIKIRI B'se unafiki ni opposite ya Kweli
Sasa cha kuchangaza kuna mwanaume anatafuta mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU Harafu Yeye mwenyewe hana hiyo hofu ya MUNGU Ndio nyie mnadhani mwanamke mwenye hofu ya MUNGU ni yule anaeingia kanisani i.e church girl
Unawezaje kumtambua mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU kama wewe huna Hofu ya MUNGU?
By the way mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU anajengwa na sio KAZI rahisi Huwezi kuokota tu SEHEMU mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU ni wajibu wa MWANAUME kupanda na kupalilia NENO la MUNGU NDANI ya moyo wa Mwanamke ambae amekusudia awe mke wake hadi listawi na kuzaa matunda i.e Tunda
Hizo hofu ni kuongopeana. Labda awe nayo mtu mjinga.
Mwerevu hawezi kuwa na hofu ambazo hazina impact yoyote kwenye maisha yake.
Niletee mwanamke yeyote mwenye hofu ya mungu nikuoneshe ushetani wake.
Mtoa mada anaweza yote haya? Lazima agongewe hakuna namnaHakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Tunaoweza ndo tunaweza yeye kama hawezi ushaur tumempaMtoa mada anaweza yote haya? Lazima agongewe hakuna namna
Hiyo ni akili Yako, tukuletee wake zetu Ili iweje? Kama huna hofu ni wewe usipake watu matope, Baki na uchafu wakoDUNIANI kuna watu na watu wenyewe Ndio hawa 😂 😂
Vizuri sana mkuu.Tunaoweza ndo tunaweza yeye kama hawezi ushaur tumempa
Mi amor😍😍😍Unabaki mwili ndani roho ipo nje kwa baba j
Miss you too love akeMi amor😍😍😍
Nimekumic
😍😍Miss you too love ake
Hiyo ni akili Yako, tukuletee wake zetu Ili iweje? Kama huna hofu ni wewe usipake watu matope, Baki na uchafu wako