Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Hakikisha mke wako hana mwanaume mwingine nje, siku akiwa naye hatokupenda tena mpaka atakufa

Poa,umeamka salama lakin
Kabisaa rafk yangu nimemaliza kufanya zoezi la kutengeneza shape sasa nataka kwenda kuoga niende zangu kwa mme wangu ofcn, nimeolewa kwa mkataba hadi miaka 60 ndio mkataba unaishaaa, ananitumia asbh hadi jioni kasoro week end tuu
 
Imeshauriwa kuoa mwanamke mwenye hofu ya MUNGU sio anaejifanya kua na Hofu ya MUNGU, anaejifanya kua na hofu ya MUNGU na hana iyo hofu ya MUNGU ni MNAFIKI na hakuna NDOA inaweza kustawi na kukua mahali penye UNAFIKIRI B'se unafiki ni opposite ya Kweli



Sasa cha kuchangaza kuna mwanaume anatafuta mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU Harafu Yeye mwenyewe hana hiyo hofu ya MUNGU Ndio nyie mnadhani mwanamke mwenye hofu ya MUNGU ni yule anaeingia kanisani i.e church girl



Unawezaje kumtambua mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU kama wewe huna Hofu ya MUNGU?



By the way mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU anajengwa na sio KAZI rahisi Huwezi kuokota tu SEHEMU mwanamke mwenye Hofu ya MUNGU ni wajibu wa MWANAUME kupanda na kupalilia NENO la MUNGU NDANI ya moyo wa Mwanamke ambae amekusudia awe mke wake hadi listawi na kuzaa matunda i.e Tunda

Hizo hofu ni kuongopeana. Labda awe nayo mtu mjinga.

Mwerevu hawezi kuwa na hofu ambazo hazina impact yoyote kwenye maisha yake.

Niletee mwanamke yeyote mwenye hofu ya mungu nikuoneshe ushetani wake.
 
Lool … Namna pekee unayoweza kufanya mke wako awe wako peke ako ni mpe raha mzeee…. Mpige shangingi fungulia biashara disemba mpeleke nje ashangae shangae . Wallet iwe full kila saa🤣 wanaume wengine atawaona ka mafala 🤣🤣 wanawake ni dhaifu saana na wanajaribiwa wakiwa hawana furaha kifedha na kihisia.. mfurahishe huyo mwanamke. Hakikisha kila mwanaume akimwona anamuogopa bidada atembeee gari la mbung avae gold.
Hamna ataemsogelea
 
Hizo hofu ni kuongopeana. Labda awe nayo mtu mjinga.

Mwerevu hawezi kuwa na hofu ambazo hazina impact yoyote kwenye maisha yake.

Niletee mwanamke yeyote mwenye hofu ya mungu nikuoneshe ushetani wake.


DUNIANI kuna watu na watu wenyewe Ndio hawa 😂 😂
 
Hakikisha unaoa mke mwenye khofu ya mungu, Hakikisha wewe na yeye ni watu wa ibada, hakikisha hatoki ndani kwenda kazini, hakikisha unampenda na kumjali, hakikisha kama hupendi apigwe nje na wewe usipige nje, hakikisha uwe unaomba sana msitiwe majaribuni, hakikisha Kila anapoenda mpeleke. Hakikisha unasimamia majukumu Yako kama Mume, hakikisha hakuna 50/50 Bali majukumu yote ni Yako, hakikisha hana marafiki waovu, hakikisha hanywi pombe, na wewe pia, soma na msomeshe maandiko matakatifu sana na kuyafanyia kazi.
Mtoa mada anaweza yote haya? Lazima agongewe hakuna namna
 
Hiyo ni akili Yako, tukuletee wake zetu Ili iweje? Kama huna hofu ni wewe usipake watu matope, Baki na uchafu wako


Anavyoona MTU nafsini mwake NDIVYO alivyo na NDIVYO aishivyo, mwanadamu katika Dunia hi ni kama kioo tu tunaakisi tulivyo NDANI kwa ulimwengu unaotuzunguka Ndio maana huyo jamaa anaona Yeye kutokuwa na hofu ya MUNGU na wengine wote hawana Hofu ya MUNGU kitu ambacho sio Kweli




Ukiwa mwizi lazima utahisi unaibiwa kila wakati B'se hali ya MTU ya NDANI huathiri na ulimwengu unaomzunguka Ndio maana jamaa kwasababu Yeye ni mpumbavu Kwahiyo anahisi watu wote ni wapumbavu, hali yake ya NDANI imeathiri na ulimwengu unaomzunguka ni HATARI Sana
 
Back
Top Bottom