Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Unataka ajitokeze hadharani ili mmfanyeje? Pale kwa dada yake mlienda kufanya Nini?
ulitaka vyama vya siasa viskilize na kutekeleza umbea wa mwanaume alie mafichoni?

hiyo si nonsense kabisa gentleman ?πŸ’
 
Wewe ni Mkurugenzi wa NIDA?
 
ulitaka vyama vya siasa viskilize na kutekeleza umbea wa mwanaume alie mafichoni?

hiyo si nonsense kabisa gentleman ?πŸ’
Vyama vya Siasa vipi unavyomaanisha? CCM na makorokocho mengine yaliyobaki ispokuwa CDM yote ni CCM. Kwa hiyo hata yasipomsikiliza Pole pole ni sawa tu. Wapiga kura ndio tutaamua
 
Nimekuuliza. Kwa dada yake mlienda mmejazana kwenye magari na mabunduki mlienda kufanya Nini?
huna haja ya kuhamisha mjadala ikiwa uko pointless juu ya hoja mahususi mezani gentleman πŸ’
 
ROSTAM AZIZI TUMESHA MU EXPOSE NA WATANZANIA WOTE WAMEMJUA NI MUHALIFU NO 1 YETE NA GENGE LAKE....HAKUNA TENA NJIA YA YEYE KUJITAKASA
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kutapatapa gentleman,

na ikiwa uko pointless, just relax and learn from others. Huna haja ya kuhamisha mjadala πŸ’
 
Wewe ,tuna Akili,tuna masikio,tuna macho napua ,midomo na maamuzi!Anzisha mada Yako!
 
huna haja ya kuhamisha mjadala ikiwa uko pointless juu ya hoja mahususi mezani gentleman πŸ’
Siyo kuhamisha mada wewe unasema Pole pole anaongea akiwa mafichoni. Na Mimi nakuuliza kwa dada yake mlienda kufanya Nini? Kama asingekuwa anajificha ingekuwaje? Kwenu anayewakosoa ni adui. Teka, fira, ua!
 
Polepole ni wakupuuzwa tu hana jipya. Anasema mwaka huu uchaguzi hautokuwa wa haki, kwani mwaka 2020 ulikuwa wa haki? Mbona hakupayuka kipindi kile??
 
Ufunuo 22:12
"Tazama, naja upesi; na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo."
 
Maendeleo kutokana na kulipwa buku buku au?
maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yanayotokana na mipango ya Serikali sikivu ya CCM inayotekelezwa kwa gharama za kodi za waTanzania wote πŸ’
 
Polepole ni wakupuuzwa tu hana jipya. Anasema mwaka huu uchaguzi hautokuwa wa haki, kwani mwaka 2020 ulikuwa wa haki? Mbona hakupayuka kipindi kile??
Na wewe umetokamo, tayari ugoro umeshakupata. Endelea kupigapo kachafya ili makamasi yaliyojaa kwenye Hilo boga yatoke
 
Wewe ni Mkurugenzi wa NIDA?
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka au kujaribu kuhamisha mjadala.

ikiwa uko pointless, just relax and learn to others πŸ’
 
maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yanayotokana na mipango ya Serikali sikivu ya CCM inayotekelezwa kwa gharama za kodi za waTanzania wote πŸ’
Maendeleo gani kwenye rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali ya umma? Lini mlishafanyia kazi ripoti za CAG ambapo kila mwaka ni madudu?
 
Sitegemei uandike tofauti na hivi ulivyoandika. Kuna wewe, Lucas mwashamba, cocochanel, na wenzenu, huwa hamuangalii ukweli wa kilichosemwa, bali huwa mnashambulia personality ya mtu badala ya kujibu hoja..!!
 
Vyama vya Siasa vipi unavyomaanisha? CCM na makorokocho mengine yaliyobaki ispokuwa CDM yote ni CCM. Kwa hiyo hata yasipomsikiliza Pole pole ni sawa tu. Wapiga kura ndio tutaamua
vyama vya siasa vyote vyenye usajili wa kudumu kwa mujibu wa sheria na ambavyo vimekidhi sifa na vigezo vya kisheria kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria October 29, 2025.

chadema masalia ni useless na completely nonsense kwasasababu haina sifa wala vigezo vya kushiriki uchaguzi mkuu wowote ujao kwa miaka mitano ijayo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…