Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

Naona wengi humu mnamshambulia Lema bila facts wala evidence!

Lakini mwenzenu anahojiwa na vyombo vya habari ndani na nje na anatoa facts na evidence jinsi situation ilivyokua mpaka ikamlazimu kuchukua hatua kuokoa uhai wake!

Na ameeleza wazi vitisho vyote vya kuuwawa au kufungwa gerezani!!

NB; Nashauri nanyi leteni facts na evidence against Lema, itakua mmetusaidia wengine tusiojua!!!
 
Haukuwa ukifuatilia siasa vizuri wakati husika.

Umesahau muda kina Musiba waliposhika hatamu, kina Sabaya, Makonder nk
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Lema ana siasa za kihuni sambamba na D'J wake Mbowe!

Lema ana tabia ya kutafuta Kick kupitia migongo ya matukio.
Lema alikimbia aibu ya kuishi bila Ubonge jijini Arusha.

Halafu anajiita Nabii wakati Lema alikuwa Jambazi mwizi wa magari na genge la Marehemu Tarimo Kidevu na Amiri pale Sakina.

Enzi za Sakina Bar ikiwa ndio kijiwe na sababu Tarimo alikuwa anakula na yule binti wa mama Yussuph pale jirani ya Sakina Bar....akiitwa kuruthum.

Ambae walikuwa wakimtumia wanaposafirisha magari kwa kubeba wife materia ili gari ionekane ni family trip!

Wajuvi wa Arusha wanaujua huu ukweli bila chenga!
 
ok, walikamatwa au hawakukamatwa.

Je alikuwa anafatiliwa, hivi ungekuwa wewe ungefanyaje, ukitegemea wenzako wanaozea ndani, kinabeni sanane wamepotea, mleta maada unalako jambo
 
Hata Lissu alivyolalamika kuwa anawindwa ili auwawe, sina shaka kuwa na wewe ni mmoja ya mliokuwa mnakejeri na kudai, hakuna kitu kama hicho! Hata Ben, naye alilalamika kuhusiana na hilo, bado mkamkejeri kuwa ni muongo!
Kwani Ben kafa?
 
Mtoa hoja acha upumbavu na roho katili, Mr. SAANANE alitoa tamko humu kuwa maisha yake yapo hatarini, akapuuzwa na sasa
Kwa masirahi mapana ya taifa, sio vibaya kumtoa kafala mbuzi mmoja ili taifa lipone, haya yanafanyika dunia nzima, nchi zoote zinafanya hivyo, japo kina lema ni waigizaji kwa maelekezo ya wakubwa,
 
Wewe akili yako Haina akili na ni kawaida kwa mafisiemu na masukumagang kujitoa ufahamu!
Lema ahitaji huruma yako na ni mtu mzima responsible for his life and actions.
Kama Lema mwenyewe anasema lilikuwa na tishio dhidi ya maisha yake wewe ni Nani mafii matupu kukataa??!
Lema kazaliwa hapa, amekuwa mbunge kwa miaka 10 mbona huko nyuma hakuwahi kukimbia nchi?
Magufuli aliunda vikundi vya uhalifu wakiwemo kina Sabaya na MAKONDA wamefanya maovu ya kila aina yakiwemo mauaji!
Nyau wewe!
Mbona wewe hujauwawa kiroboto wewe?
 
ok, walikamatwa au hawakukamatwa,je alikuwa anafatiliwa, hivi ungekuwa wewe ungefanyaje, ukitegemea wenzako wanaozea ndani,kinabeni sanane wamepotea, mleta maada unalako jambo
Kwani Ben Saanane alikamatwa 2020?

Acha kukariri ujinga!

Mbona Mbowe alibaki na hakuuwawa!
 
Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua.

Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na kujipa umuhimu ambao hana. Mambo kwa Lema yalishakuwa magumu akapiga hesabu akaona ni bora atoroke nchi.

Lakini amekuwa akitengeneza hadithi za kutaka kuuawa n.k ili aonekane alikuwa mtu mkubwa na muhimu. Ilhali ni mtu wa kawaida sana. Ambaye hata kichwani hana madini ukilinganisha na akina Tundu Lissu ambaye yupo well informed na educated.

Ifikie hatua tuambiane ukweli tu bila kuuma uma maneno.
Hivi mtu unapoamua kuandika ujinga kama huu, unakuwa umedhamiria nani akuone wa maana?

Hivi unadhani maisha ya kuishi kama mkimbizi wa kisiasa yana raha yo yote mpaka mtu ajipeleke? Yaani Lema aache biashara zake home kisha akimbilie kwenda kupewa posho ya kumwezesha kula na kulala tu?

kabla ya kuandika upuuzi huu ungefanya utafiti kwanza ujue what constituents to be a political refugee, faida na hasara zake kisha ujiulize mtu mwenye mizizi arusha kama Lema angekubali kukimbia mji wake kirahisi rahisi. Political asylum si starehe kama unavyodhani.
 
Kumbe walitaka 'kumjeruhi' kama Tundu Lisuu sio?
Mleta mada uwe na staha ktk kuandika kwako!
Hukawii kutuambia hivyo hata kwa akina Ben Sanane!
 
Wakati Jambazi Sabaya ananyanyasa na kudhalilisha watu pale Arusha na moshi, Hivi Lema angepona kweli? tuwe wakweli. Wakati Jambazi likiapa kuwafyatua wote ambao hawataslimu na kuwa CCM ww mtoa mada ulikuwa wapi?
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Lema ana siasa za kihuni sambamba na D'J wake Mbowe!

Lema ana tabia ya kutafuta Kick kupitia migongo ya matukio.
Lema alikimbia aibu ya kuishi bila Ubonge jijini Arusha.

Halafu anajiita Nabii wakati Lema alikuwa Jambazi mwizi wa magari na genge la Marehemu Tarimo Kidevu na Amiri pale Sakina.

Enzi za Sakina Bar ikiwa ndio kijiwe na sababu Tarimo alikuwa anakula na yule binti wa mama Yussuph pale jirani ya Sakina Bar....akiitwa kuruthum.
Ambae walikuwa wakimtumia wanaposafirisha magari kwa kubeba wife materia ili gari ionekane ni family trip!

Wajuvi wa Arusha wanaujua huu ukweli bila chenga!
Chuki na hukumu zenu ni za kijinga sana!
majitu hamtaki kuambiwa ukweli!
Mkiiba hamtaki kuambiwa!
Ukatili wenu wa ajabu hamtaki kukemewa!
Tutasema tu siku zote, ueni, fungeni, tutupeni magerezani tutasema tu!
 
Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua.

Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na kujipa umuhimu ambao hana. Mambo kwa Lema yalishakuwa magumu akapiga hesabu akaona ni bora atoroke nchi.

Lakini amekuwa akitengeneza hadithi za kutaka kuuawa n.k ili aonekane alikuwa mtu mkubwa na muhimu. Ilhali ni mtu wa kawaida sana. Ambaye hata kichwani hana madini ukilinganisha na akina Tundu Lissu ambaye yupo well informed na educated.

Ifikie hatua tuambiane ukweli tu bila kuuma uma maneno.
Mpaka watu wauawe au wa-survive majaribio ya kuwauwa ndiyo huwa mnakubali, hata Lissu hakuna aliyewahi kukubali ya kuwa anafuatiliwa kuuawa licha ya kwamba alisharipoti polisi na hata pale aliposhambuliwa watu bado wakajaribu kuu-twist ukweli eti mara kajishambulia mwenyewe au ni dereva au ni Mbowe lakini ukiwaambia waje international investigators wasaidie uchunguzi wanagoma na ukiwauliza polisi waliopaswa kuwa zamu hawakujibu na pia ukiwauliza footages za CCTV cameras ziko wapi hawakujibu.
Kwa kifupi waliokuwa wanawindwa kuuawa kipindi cha utawala wa kidikteta wa Jiwe ni wengi, Sukuma gang huwa hamkubali hilo. Sasa Ben Saanane yuko wapi? Mpaka watu wapotee ndiyo mkubali?
 
Hakuna hilo jambo Lema hakuwa katika hatari ya kuuawa.
Hata Lissu na Saanane mlisema hivyo hivyo, hasira zenu ni kwamba aliustukia mchezo mapema. Kwa nini huwa mnafurahia watu kuuawa? Ni kwamba huwa mnalipwa au ni asili yenu mkiua watu huwa mnajisikia furaha?
 
Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua.

Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na kujipa umuhimu ambao hana. Mambo kwa Lema yalishakuwa magumu akapiga hesabu akaona ni bora atoroke nchi.

Lakini amekuwa akitengeneza hadithi za kutaka kuuawa n.k ili aonekane alikuwa mtu mkubwa na muhimu. Ilhali ni mtu wa kawaida sana. Ambaye hata kichwani hana madini ukilinganisha na akina Tundu Lissu ambaye yupo well informed na educated.

Ifikie hatua tuambiane ukweli tu bila kuuma uma maneno.
Unaujua ukweli wewe?
 
Back
Top Bottom