We waache tu!Habari yako bro, hivi skuizi humu jf kuna Ke🤔
Kuna muda nakua bro inategemea kuna ishu ganimdogowangu @ephen umekubali kuitwa bro
Kwa kutumia riwaya mbili.Aise noma umenikumbusha mbali sana cheki hili swali,
Fasihi ni ukoko kwangua
JF kuna mengi, hii JF uwanja wa fujo. 😁mdogowangu ephen_ umekubali kuitwa bro
Mi pia najuaga ni bro huyu... 😁usikubali kuitwa bro na mtu yeyote, mdogowangu ephen_
Noma sanaKwa kutumia riwaya mbili.
Hapana sio mimi 👍Sitostaajabu ikiwa muandika uzi na mtajwa kwenye uzi ni mtu mmoja huyo huyo.
Fungua uzi wako!Jamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.
We had chemistry, but you chose to leave in noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle
amebadili idJamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.
We had chemistry, but you chose to leave in noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle
Eeh usinambie! 😊huyu mrembo ephen_ ?
basi ndo maana nimemshauri asikubali kuitwa bro. huyu ni mdowagowangu mzuri sana na ni pisi haswa
Natamani kujua pia 🤔🙌Tatizo la jf ni multiple ids na kubadili majina
Hapa naanza kufikiria wewe utakua ni nani