ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Dah 🤔Tumuokotee mawe?
Ila mbona kama moyo ushaanza kulainika?
Dah 🤔Tumuokotee mawe?
Ila mbona kama moyo ushaanza kulainika?
Lengo lenu ni nini mahi🤔Nendeni taratibu mtafikia lengo tu.
enjoy shem wangu😊 nipo na wew mpka upate hitaji la moyo wakonakumbuka siku ya kwanza kukutana na mrembo huyu ShesRise_1 niliunganishwa na rafiki yake mzuri win-one kuanzia hapo upendo wetu ukashamiri
asante sana win-one siwezi kukusahau kamwe, kila nikimuona ShesRise_1 nakukumbuka wewe
kipindi hicho binti alikua anajiita "hata najua basi" tumetoka mbali sana
cc: win-one