sina mtaji kaka lazima tumpigr 5M ili niweze kugungua biashara 😁
sina mtaji kaka lazima tumpigr 5M ili niweze kugungua biashara 😁
Ila kweli, basi tutafanya 4.8 M 😏Ongea nae, bei ishuke, atakuletea fitna mbeleni huko ukimkwepa. 😊
Laki mbili 😂😂😂Ila kweli, basi tutafanya 4.8 M 😏
mahari zimepanda sababu ya vita kakaLaki mbili 😂😂😂
Astaghafirullah sheikh tema mate chini 😂🙌🏾mahari zimepanda sababu ya vita kaka
Miss you too mjukuu!Babu miss you
Karibu jukwaani babu yangu mzuriMiss you too mjukuu!
Asante mjukuu!💪Karibu jukwaani babu yangu mzuri
Unapenda sifa za kijinga sana ww mtotoView attachment 3591656
Kuamua kupita kushoto hama kulia ni uamuzi wangu binafsi hutakiwi kunipangia.
Comment yako hiyo hapo juu app imeniwekea option ya kureply na kureact utasemaje hayanihusu?
Hiyo reply yangu uliijibu kwenye post #55 sikukujibu tena, sasa hivi unalianzisha tena hapa mimi na wewe nani anataka sifa za kijinga?Unapenda sifa za kijinga sana ww mtoto
Huwa unani piss off sana. Why don't you just do your thing and I do mine! Nakuchukia vby sana.Hiyo reply yangu uliijibu kwenye post #55 sikukujibu tena, sasa hivi unalianzisha tena hapa mimi na wewe nani anataka sifa za kijinga?
Sasa nimekuelewa! Haina noma.Huwa unani piss off sana. Why don't you just do your thing and I do mine! Nakuchukia vby sana.
It's just you're acting weird nowadays. And I hate that.Sasa nimekuelewa! Haina noma.
MzuriSasa nimekuelewa! Haina noma.
ShesRise_1 nyota naona inang'aa sasa mkuu.