hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

Sijawahi kua na mtoto humu naishia tu kudata na maandishi & flirting za hapa na pale.
1746593064647.jpg

Niniii ?
 
Ukishaona hela ya kuhonga huna na mbunye unazitaka huna budi kuchangamka!
Unaweza usiwe na hela nzuri na ukazichezea sana hizo nyama.

Unaweza kua una hela nzuri na ukazila kwa tabu sana.

Unaweza kua domo zege na ukawa unazila vizuri tu kikubwa utimize vigezo na masharti.

Unaeza kua sio domo zege ila ukawa unaonja kwa mbali saaana.
 
Hakuna umbali utakaoweza kufuta hisia hizi.
Hakuna maneno ya watu yatakayoweza kuyeyusha kilichojengwa na mioyo miwili iliyochaguana kwasababu mapenzi yetu hayaishi kwenye macho pekee baki huishi ndani kabisa ya nafsi.
😂🔥🔥🔥
Maneno yote hayo mshafahamiana na kukutana nje ya JF? Au ndiyo hivyo umevutiwa tu na Avatar?
 
Chukua hii umtag😂

Kikombe cha Sukari, Jua la Maisha Yangu

Kwenye jukwaa la maisha, urembo wako unang'aa,
ShesRise_1 mpenzi, nyota yangu ya kapu la baraka,
Kila unapochomoza,
giza langu lote linatoweka,
Wewe ni jua langu,
unaamsha ari na hamasa.
Mimi ni chai ya rangi, niliyepata mtamu wake,
Wewe ndio sukari yenyewe, ladha ya maisha yangu,
Bila wewe kubandikwa moyoni, mimi bado mchungu,
Tupike pamoja upendo,
udumu kwenye ulimwengu wetu.
Kwenye nyuzi za JF,
nakutafuta kwa hamu sana,
Macho yangu ya mtandaoni, yanatamani picha yako,
Sauti yako ya maandishi, inanikosha roho yangu,
Nataka dunia ijue,
wewe ndio chaguo langu pekee.Inuka mpenzi wangu (ShesRise_1), uangazie hii safari,
Shika mkono wa chai ya rangi,
tuelekee kwenye heri,
Mapenzi yetu yawe mfano, yasiishe kama uturi,
Niseme nini tena mrembo? Nakupenda kwa dhati ya moyo💖💖🔥.
Kweli wanapendana maana kuna ugumu wa kuelezea hisia na maneno matamu kwa mtu usiyevutiwa naye
 
Back
Top Bottom