hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

Tulishindwa shuleni hata kutunga shairi la beti nne vina havipandi.
Ila ukubwani Sasa ukipenda hayo mashairi sasa


When a man falls in love he become a very good poet.
sasa je😎! kweli nilikuwa sijibu swali la shair tena la ku quote, hata siku moja! wakusoma wanaona chenga chenga, huku ma bro/sis wanaitiririka kwa maudhui tofauti tofaut 😅
kama huyu 👇 !
 

Attachments

  • Screenshot_20260519-203358.png
    Screenshot_20260519-203358.png
    79.9 KB · Views: 6
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.

Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.

Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu uliamua kupumzika milele.

Hakuna umbali utakaoweza kufuta hisia hizi.
Hakuna maneno ya watu yatakayoweza kuyeyusha kilichojengwa na mioyo miwili iliyochaguana kwasababu mapenzi yetu hayaishi kwenye macho pekee baki huishi ndani kabisa ya nafsi.

Na yeye…
tayari amekuwa sehemu ya pumzi zangu.
yaani yeye ni special than special itself kwako, right?

that's very interesting mutual, equal and balanced relationship.

well done gentleman, keep it up na umekaribia kupewa nafasi ya kuweka signature kabisa, bana hapo hapo usiachie hata kidogo,🐒
 
Back
Top Bottom