NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Usikute jamaa anajitongoza na kujijibu mwenyewe, jf ina watu wa ajabu never seen beforeTatizo la jf ni multiple ids na kubadili majina
Hapa naanza kufikiria wewe utakua ni nani
Usikute jamaa anajitongoza na kujijibu mwenyewe, jf ina watu wa ajabu never seen beforeTatizo la jf ni multiple ids na kubadili majina
Hapa naanza kufikiria wewe utakua ni nani
Muda mwingine wanatufurahishaUsikute jamaa anajitongoza na kujijibu mwenyewe, jf ina watu wa ajabu never seen before
Nyie endeleeni kuneng'eneka mwezenu Maxence Melo anapiga hela tu. Kesho na kesho kutwa anakuja kuwaambia fanyen kaz mpate hela mnamuona mchawi mara freemasonihichi kitu kinaumiza ni kweli,
hata mimi kuna watu napenda tu niwaone humu jf japo sio physically. ila nisipo waona kwa muda mrefu nahisi kuna kitu kita miss
Pigia mstari👌Usikute jamaa anajitongoza na kujijibu mwenyewe, jf ina watu wa ajabu never seen before
Funny imekuwa nyingi sana, kuna wat wamepotea kabisa hum wa mambo serious sabab ya hawaMuda mwingine wanatufurahisha
😁😁 Mbwembwe.Sema we mkuda unaupdate nomino kinoma, mtaalamu wa procument una mbwembwe kinoma.
Usifanye hivyo bhana! Hadi mtu anafikia hatua ya kusema "nakuchukia" inabidi nikae nae mbali hivyo usiyaanzishe tena.
Raisi wa ma jobless pro max nime sikitishwa kwa hili, acha ubabe wape watu mwali huyoKama huna 5M sister utamsikia tu 😎
Hivi wewe ni nani?kuna njia nyingi utaweza kupitishwa ili kuwa imara. uki tarajia soft words mwazo huwa zina fade kadiri muda unavyoenda
mdogo wangu ephen_
Tumuokotee mawe?Hivi wewe ni nani?
ni professor, mwanafalsafa, na mwanazuoniTumuokotee mawe?
Ila mbona kama moyo ushaanza kulainika?
Tumuue 😆Tumuokotee mawe?
Astghafirullah hapana aisee🤣🤣Ila mbona kama moyo ushaanza kulainika?
Pumba tupu.hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.
Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.
Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu uliamua kupumzika milele.
Hakuna umbali utakaoweza kufuta hisia hizi.
Hakuna maneno ya watu yatakayoweza kuyeyusha kilichojengwa na mioyo miwili iliyochaguana kwasababu mapenzi yetu hayaishi kwenye macho pekee baki huishi ndani kabisa ya nafsi.
Na yeye…
tayari amekuwa sehemu ya pumzi zangu.
Nendeni taratibu mtafikia lengo tu.Tumuue 😆
Astghafirullah hapana aisee🤣🤣
Natamani tu kumjua maana hasikii la mkuu wala la mnadi swala
Na hata nikimfokea anajidai hana hasira
Yesterday nilimuuliza yeye ni nani akani quote nanukuu: ukijua mimi ni fulani utafanyaje ?akataja jina
After dkk kadhaa aka delete hiyo quote