hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.

Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.

Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu uliamua kupumzika milele.

Hakuna umbali utakaoweza kufuta hisia hizi.
Hakuna maneno ya watu yatakayoweza kuyeyusha kilichojengwa na mioyo miwili iliyochaguana kwasababu mapenzi yetu hayaishi kwenye macho pekee baki huishi ndani kabisa ya nafsi.

Na yeye…
tayari amekuwa sehemu ya pumzi zangu.
Upwipwi .baya sanaaa
 
Jamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.

We had chemistry, but you chose to leave un noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle

ndo huyu...
 
Jamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.

We had chemistry, but you chose to leave un noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle
Pole sana mkuu, naelewa unachopitia.

Mimi nishakubaliana na hali, kwanza mlalahoi sina hili wala lile...
 
Hayakuhusu na weka jokes pembeni, pita kushoto if it doesn't concern you
1000040417.png

Kuamua kupita kushoto hama kulia ni uamuzi wangu binafsi hutakiwi kunipangia.

Comment yako hiyo hapo juu app imeniwekea option ya kureply na kureact utasemaje hayanihusu?
 
Mkuu acha tu. AF hata ukute sio nataka nimpate physically, it's just how she made me feel. Tuliacha kuwasiliana kama week hivi then off she went into nowhere.
hichi kitu kinaumiza ni kweli,

hata mimi kuna watu napenda tu niwaone humu jf japo sio physically. ila nisipo waona kwa muda mrefu nahisi kuna kitu kita miss
 
Angalia username yako na yangu halafu niambie nani mshamba!

Huna hela halafu domo zege wachumba utawapataje?
Labda kama nilichokiandika kinakuhusu!!!
Utawapata tu muda sahihi ukifika. Ephen kila mtu ana muda wake.
 
Back
Top Bottom