nakumbuka siku ya kwanza kukutana na mrembo huyu
ShesRise_1 niliunganishwa na rafiki yake mzuri
win-one kuanzia hapo upendo wetu ukashamiri
asante sana
win-one siwezi kukusahau kamwe, kila nikimuona
ShesRise_1 nakukumbuka wewe
kipindi hicho binti alikua anajiita "hata najua basi" tumetoka mbali sana
cc:
win-one