Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Ujinga ujinga tu, wanachezea pesa tu. Kama ishu ni ibada, wangeifanya Tz, au Mungu hasikii maombi toka Tz?
Hachezei fedha, Wana miradi mingi ya biashara ,inazalisha na waamini wanatoa sadaka kwa kazi hiyo

✅ Wameenda kuongeza maarifa ya kuja kuongoza

✅ Wameenda Kupokea maelekezo ya kichungaji kutoka kwa Mkuu wao ( Papa)

✅ Kanisa Katoliki sio taasisi inayoendeshwa kienyeji kama zile za ( baba na mama mchungaji) ambao hujismulia nini Cha kufanya mwisho wa siku wanaleta madhara kama akina kibwetere, Makenzie, na akina ZUMARIDI kanisa inaongozwa kwa kaulimbiu ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
 
Wamefanya jambo jema kutohudhuria kuogopa kujitia unajisi wameona hela nyingi zinapotea kwenye Jenzi zisizo na mashiko huku huduma za jamii zikiwa hazipewi vipaumbele
 
Paroko wetu alitueleza Dominica iliyopita kuwa Maaskofu wote watakwenda Roma-Vatican kwa ajili ya kikao na Papa.
 
These are petty issues
 
Waseme tu wameanza kujitambua kwani wasingeshindwa kupeleka hata Mwakilishi.

Kama sio kijitambua, basi kuna jambo nyuma ya pazia.
Kufanya nini, hivi na USA Rais anafungua majengo? Mara mashimo ya vyoo, mara madarasa,,,petty issues
 
Dah. KAMA AMGEKUWEPO , WOTD HAO WALIOKO UGHAIBUNI , WANGEKUWA DODOMA LEO HII
 
Sawa
 
Serikali haina dini waende wasiende haisadii kitu viongozi wa dini wenyewe matapeli tu kama wanasiasa.
 
Hawaamini kifo cha jembe kama kilikua cha MUNGU, isitoshe mamlaka ya sasa haijatokana na wao
 
Maaskofu wote walikuwa na ziara maalum Vatican na wamemaliza kikao maalum na Papa Francis. Hata katibu mkuu TEC yupo huko! Nafikiri jimbo kuu Dodoma watakuwa wametuma mwakilishi.
Mwakilishi alikuwepo ?
 
Sasa kama wako nje ulitaka umwone Askofu gani? Ila nchi hii imejaza matakataka aiseewe
 
Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
Majimbo yote yapo chini ya Maaskofu wastaafu na wasimamizi wa kitume, Maaskofu wapo Roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…